ANCELOTTI ASEMA MADRID INAWEZA KUTETEA UBINGWA WA ULAYA, LAKINI...

Kocha Carlo Ancelotti wa Real Madrid amesema timu yake ina nafasi ya kutetea ubingwa wa Ulaya, lakini akaonya. Ancelotti raia wa Italia amesema Madrid ina kikosi bora na imara, lakini haiwezi kuwa kila kitu kwao kubeba ubingwa. “Tuna wachezaji bora wanaofanya tuwe na kikosi bora. Lakini muhimu sana ni suala la ushirikiano na tunakwenda vipi. “Kushinda tena inawezekana, lakini haitakuwa kazi lahisi na tunajua lazima tupambane. Kila mechi ni uwanja mpya wa mapambano,” alisema.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: