AIR ASIA QZ8501:MIILI 40 YAPATIKANA MPAKA SASA

Miili zaidi ya 40 imepatikana kwenye eneo la bahari ambako inasadikiwa ndege ya AirAsia QZ8501,kwenye eneo la bahari ambako miili inaonekana ikiwa inaelea juu ya Bahari huku hakuna afisa yoyote aliyedhibitisha llolote kuhusu jambo hilo. Ndege hiyo iliyokuwa imebeba abiria 162 ilipotea siku ya Jumapili tarehe 28.12.2014 baada ya kukosa mawasiliano.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: