Ujumbe wa kwanza alioutoa Beyonce baada ya Kelly Rowland kujifungua…

Siku ya jana Novemba 6, Beyonce alimtembelea Kelly Rowland aliyejifungua mtoto wa kiume na kuacha ujumbe wa nguvu katika ukurasa wake wa Instagram (@beyonce) kwa mtoto huyo. “.. Hakuna hisia nzuri kama hii ya kumshika mpwa wangu mzuri. Nashukuru Mungu kwa heshima ya kuishuhudia safari ya dada yangu kuwa mama. Nimekuwa nikiota watoto wetu wanakua pamoja. Nashukuru kwa kuungana kwetu. Mtoto Ty, Nakupenda sana. Pongezi kwenu wapenzi..”-Beyonce
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: