MASTAA WA KIKE WADAI NYETI BANDIA, ZINAWAPUNGUZIA STRESS ZA WANAUME

MASTAAwa kike wa fani mbalimbali nchini, wamezungumzia matumizi ya nyeti bandia, baadhi wakizipongeza kuwa zinawasaidia kuondokana na ‘stress’ za wanaume huku wengine wakiziponda kuwa hazina ‘ladha’. Staa katika tasnia ya filamu Bongo,Aunt Lulu.Baadhi ya wasanii hao walisema kuwa ingawa wanazifahamu na hata kuwajua wanaotumia wao wanaamini wanaotumia ni wale ambao hupenda kufanya tendo kila siku wakiwa na wenza wao, hivyo wanaposafiri au kusigana kidogo, ndipo wanapolazimika kuzitumia. Staa katika tasnia ya filamu Bongo, Isabela Mpanda.Mastaa waliozungumza na gazeti hili kuhusu nyeti hizo, lakini wakikana kuwahi kutumia ni pamoja na Lulu Semagongo, Isabela Mpanda, Baby Madaha, Tamrina Poshi ‘Amanda’ na Vai wa Ukweli ambaye alisema yeye anapojisikia karaha ya mapenzi, hupenda kunywa pombe, hata kama ni asubuhi.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: