Njenje News blog: Njenje News blog: DEREVA TOYO sehemu ya 13b
Inaendelea,,,,
Judi alikua analia kwa sauti kubwa kweli kweli huku damu zikimtoka maeneo ya siri
"amka basi tutoe hayo mashuka"
"sitakiii iiiiiiii iiiiiiiii iiiiiii nnnnnnhhh iiiiii uuuuoooi uuuuuuiiiiiii iiiiiiiii kiiiiiiii kwiiiiiiiii"
"sasa unalia nini judi?"
"kwaio we huoni tatizo sio? iiiiiiiii iiiiiiii iiiiiiiiiiii uuuuuuuuu iiiiiiiiii iiiiiiiiiiii iiiiuuuiiiiii"
"sasa judi mi sijui huduma ya kwanza je? itakuaje?"
"nipe simu yangu ukoooi iiiiiiiiii iiiiiiiiii uuuuiiiiiiii hhhnnnn iiiiiiiiii"
"shika"
Nilimpa simu kisha akaanza kusachi majina ya simu huku akiendelea kulia tuuu
"iiiiiiii uuuuuuuu iiiiiiiii iiiiiiiii iiiiiiii"
"yaani unaniuzi wewe?"
Alilipata jina alilotaka kisha akatuma tu ujumbe wa meseji... kisha akaitupa simu kwenye kochi...
"we judi sasa itakuaje?"
"we subiri bwanaaa... iiiiiiiiiii iiiiiii iiiiiii iiiiiii yyuuuuuu iiiiiiaaaaa iiiiiiiiii iiiiiii iiiiiii iiiiiiii"
Sasa baada ya dakika kama tano hivi mlango uligongwa... nikamuangalia judi kisha nikamuuliza kuusu huyo anaegonga.
"we nani anagonga?"
"labda atakua ni baba angu"
"uu uuu uuu unasema we judi?"
"aliniambiaga siku ya kutolewa usichana wangu usiondoke mpaka nije nimuone mkwe wangu.... sasa nenda kamfungulie"
"na ndio huyo uliomtumia sms?"
"ndio... kwani vp?"
"unajua katika wasichana wasio na akili basi wewe ni mmoja wao"
"utasema kila neno ila ndio hivyo sasa, tena usinishike mimi iiiiiiioiii iiiiiiiii iiiiiiiii iiiiiii iiiiiiiii iiiiiiiii"
"sasa wewe Endelea kulia na mimi siendi kufungua na tutakaa humu humu hadi tuoze"
Mara mlango uligongwa tena... Afu uligongwa kwa nguvu mpaka mapigo ya moyo yakaenda mbio.... lakini nikaona ngoja tu nikafungue maana kama majanga ndio yashatokea tuuu
Nilifungua mlango taaratibu huku nikitetemeka mwili mzimaaaa
"yaani nagonga toka saa hio hamfungui kwanini?"
"shkamoo?"
0 comments:
Post a Comment