MAJENERALI 12 WASTAAFU WA JWTZ WAAGWA DAR
JESHIla Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) leo limefanya gwaride maalumu kwa ajili ya kuwaaga majenerali 12 wastaafu.
Sherehe hizo zimefanyika Kambi ya Twalipo Mgulani, Dar es Salaam, na kuongozwa na Mkuu wa Majeshi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange, kuanzia saa mbili asubuhi katika kambia ya Twalipo Mgulani, jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment