JITIBU UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
Tatizo hili limekuwa likiwakumba watu wengi kwa sasa, na hawajui la kufanya na wengi huishia kutumia kemikali ambazo badala ya kuwaondolea tatizo hilo, inakuwa inawaongezea kwa kiasi kikubwa. Zifuatazo ni dawa asili ambazo ni rahisi kwa upatikanaji na ni rahisi kuandaa mwenyewe na zisizo na gharama kubwa na wala hazina madhara yoyote kiafya.
1. MCHELE, MAZIWA, TENDE NA SAMLI
Ikiwa utapikwa mchele kwa maji ya tende (yaani tende zilowekwe ndani ya maji), na ikiwa zitalowekwa zikiwa zinapondwapondwa kidogo ni bora zaidi,, tende hizo kiaasi cha robo kilo zilowekwe kwenye maji kiasi cha masaa 12, yachukuliwe maji hayo yachanganywe na maziwa flesh ya ng’ombe jazo sawa na ndio yafanywe maji ya kupikia mchele huo na mafuta yake ni samli, basi chakula hicho kikiliwa kutwa mara moja kwa muda wa siku kumi na tano basi huongeza manii kwa kiwango cha juu kabisa.
2. ANISUNI
Chemsha Anisuni kiasi cha gram 100 kwa maji lita moja na nusu, hakikisha nusu lita inapotea kwa kuchemsha. Matumizi ni ujazo wa kikombe cha kahawa moja kutwa mara 2 hadi maji hayo yaishe. Inshaaallah hii ni dawa nzuri sana.
3. MBEGU ZA TIKITI MAJI
Chukua mbegu za tikiti maji kisha zikaushe kwa jua, baada ya kukauka zisage vizuri kabisa hadi upate unga wake, upime una huo upate gwam 100, unga huo uchanganye na asali ya nyuki kiasi cha lita moja. Matumizi ni kijiko kimoja cha chakula asubuhi kimoja, jioni kimoja hadi dawa yote iishe. Inshaallah ni mujarabu.
4. MCHICHA
Chukua mchicha kiasi cha gram 100 kisha upike kwa tangawizi kiasi cha gram 10, halafu kula mcicha huo asubuhi na jioni kwa muda wa siku kumi na tano mfululilzo, utaona maajabu.
KITUNGUU THAUMU
Ponda robo kilo ya kitunguu thaumu kisha kichemshe kw litamoja ya maziwa ya kondoo na nusu lita ya mafuta ya samli kisha baada ya kuchemka ondosha kwenye moo kisha utie asali kiasi cha lita moja.
Matumizi: Kijiko cha chakul kimoja kutwa mara tatu, Inshaallah dawa hii kwa habari hizo hailinganishwi na dawa zingine.
5. HABBAT THUFA
Chukua habbat thufa unga kiasi cha gram 100 changanya na unga wa hina kiasi cha gram 50 kisha changanya na asali kiasi cha lita moja. Dawa hii iache juani ichanganyike vizuri kwa masaa 24 ndipo uitumie.
Matumizi: Vijiko viwili vya chakula kutwa mara tatu au mbili hadi iishe, Inshaallah ni mujarabu.
6. UWATU
Chukua uwatu kiasi cha gram 100 kisha chemsha kwa maji lita moja na nusu, hakikisha nusu lita inaisha kwa kuchemsha, kisha iondoe kwenye moto, baada ya hapo changanya na asali lita moja na nusu.
Matumizi: Vijiko 3 vya chakula asubuhi, mchana na jioni.
7. HIMSWI (AL-HAMZA)
Chukua Himswi (al-hamza) kiasi cha gram 100 kisha changanya na maji kiasi cha lita moja na nusu, chemsha hadi nusu lita ipotee kw kuchemsha, kisha toa kwenye moto, changanya na asali lita moja na ziada kidogo.
Matumizi: Vijiko vitatu asubuhi na jioni hadi dawa iishe utaona ajabu yake.
8. TANGAWIZI
Chemsha tangawizi gram 100 kwa maji lita moja na nusu kisha iondoe kwenye moto baada ya kuhakikisha imechemka vizuri kabisa changanya na asali lita moja.
Matumizi: Vjiko vitatu vya chakula asubuhi, mchana na jioni hadi iishe.
9. MBEGU ZA FIGIRI NA MBEGU ZA UFUTA
Chukua mbegu za figir na mbegu za ufuta kwa ujazo wa gram 100, kisha zisage zote hadi ziwe unga kisha changanya na asali lita moja, jichue kwenye dhakari yako kama mtu mwenye kunyoosha misuli, na utakuwa unakula kijiko kimoja asubuhi na jioni, na huku ukiendelea kujichua asubuhi na jioni kwa siku ishirini na moja.
Kwa ushauri zaidi tuwasiliane, pia matatizo yakizidi muone daktari kwa matibau zaidi.
USISAHAU KU-SHARE ILI ELIMU HII IWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI
0 comments:
Post a Comment