JAHAZI LINALODHANIWA KUWA NA SHEHENA YA DAWA ZA KULEVYA LAKAMATWA JIJINI DAR

Jeshi la Polisi kikosi cha wanamaji limekamata jahazi moja ambalo linatoka nchini Irani ambalo linadaiwa kuwa na shehena ya dawa za kulevya. Akizungumza kuhusu tukio hilo kamanda wa kikosi hicho kamanda Mboje Kanga amesema walilikamata jahazi hilo baada ya kulitilia shaka na ndani yake wapo watu. Kwa upande wake kamanda wa kikosi cha kuzuia na kupambana na dawa za kuleya nchini Godfrey Nzowa amesema mapambano bado yanaendelea japo zipo changamoto nyingi na kuongeza kuwa robo tatu ya vigogo wa dawa za kulevya wamekwisha kamatwa.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: