Gari lapinduka wakati dereva akiwakimbia askari Polisi mjini moshi leo

gari aina ya Toyota Spacio, lenye namba za usajili, T111 BHW likiwa limepinduka chini juu mbele ya ofisi za TFA barabara ya Boma ,jirani kabisa na kipita shoto cha mnara wa saa ,Dereva wa gari hilo anadaiwa alikuwa akijaribu kuwakimbia askari wa kikosi cha barabarani kwa mwendo wa kasi kabla ya kugonga gari jingine na hatimaye kupinduka.hakuna aliepoteza maisha kwenye tukio hilo la ajali.Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii kanda ya kaskazini.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: