MSIBA TENA: MZEE MANENTO WA BONGO MOVIE AFARIKI DUNIA, SOMA HAPA UJUE KUHUSU KIFO CHAKE
MSIBA TENA: MZEE MANENTO WA BONGO MOVIE AFARIKI DUNIA, SOMA HAPA UJUE KUHUSU KIFO CHAKE
Habari zilizotufukia hivi punde zinasema kuwa muigizaji Mzee Manento amefariki dunia hapo jana.
Rais wa shirikisho la wasanii Simon Mwakifwamba amethibitisha kufariki kwa Mzee Manento na kusema msiba wake upo nyumbani kwake Kigogo/Mburahati jijini Dar es Salaam
Bado tunafuatilia kwa karibu habari hizi na chanzo cha kifo cha mzee wetu huyu.
Mzee Mnento atakumbukwa hasa kwa filamu alizocheza kiumakini na marehemu Kanumba.
Hero of the church, Dar to lagos,fake pastor n.k pumzika kwa Amani
Mungu ailaze Roho ya maerehemu mahali pema peponi amina.
0 comments:
Post a Comment