DEREVA TOYO sehemu ya 3b
"sio hivyo rey, Mimi jana nilikutafuta ile mbaya lakini sijakuona"
"mmhhh jemsi muongo wewe jamani?"
"kweli vile na sijui ulikua wapi jana?"
"si nilikua na mpenzi wangu?"
"aaahh sasa si ungeniambia mapema kama ulikua na jamaa wako?"
"unisamee kwa hapo tu jemsi"
"ok poa mi nishakusamee ila sasa hivi naenda kula kwanza"
"mmhhh jamani jemsi yaani huna hata wivu?"
"wivu wa nini sasa?"
"mbona hata hujastuka kuskia nilikua na mpenzi?"
"mmhh kwani mi nina uhusiano na wewe?"
"jemsi kwani jana nilikuambia nini?"
"sawa lakini si una mpenzi wewe?"
"bwana nimekudanganya ili nione kua utasemaje"
"hhm kwaio?"
"kwaio nini jemsi? nijibu basi lile ombi langu"
"aahh ngoja hii wiki iishe"
"heeeee jemsi mbona una kusudi hivyo?"
Mtoto alikua anataka jibu lake... Rey ni mzuri tena mtoto ana umbo ila tatizo ni mama angu, kwani mama angu hua hapendagi waschana wanaopenda kukaa kisasa kisasa..
"nikikupa jibu sasa hivi litakua baya, hivyo kama unataka nikupe"
"mmmhh basi we nenda kale kwanza nitasubiri hata hio wiki tu"
"poa nisubiri basi tupande wote mjini"
"hapana jemsi....maana nina kazi nyumbani"
"mmhh sawa"
Basi mtoto rey aliishia zake. nami nikaingia ndani ili nile msosi
"wewe ulikua unaongea na nani huko nje?"
"nilikua naongea na rehema"
"Eti nini? si nilikuambia mi sitaki biashara na hawa watu?"
"duuu yaani humu ndani Baba ana swaga zake... na wewe tena una swaga zako Aaaahhhggggg sasa mi niwafate wazee?"
"unamjibu nani hivyo?"
"mmhh basi nisamee"
"usiniletee upumbavu mimi.... yaani ukipata kazi tu.. uoe"
"haaaa na umri huu mama?"
"kwani we si mtu?"
"duuu sasa kuzeeka kwangu kunakuja aisee"
"hebu kula uniondekee mimi"
Basi nilipiga diko chapu kisha nikabeba mkoba wangu na kusepa zangu studio
Nikicheki saa inaniambia sasa ni saa 9:45 alasili.....
Nilifika studio na kuzichukua picha zangu kisha nikaondoka kuelekea nyumbani, ili nikamuulize rey kua.. huko kwakina hawa wenye picha ni wapi, maana sipajui kwao kwani nilikutana nao tu kule gaden rose..
Basi nilifika kwakina rey na kumkuta anapasi baadhi ya nguo zake.
Na ukumbuke kua tupo jirani nae
"mambo jemsi? vp ushaenda mjini?"
"ndio ila nielekeze kwa hao watu wanaishi wapi"
Sasa mtoto wa kike alikua kavaa jishuka tu peke yake... sasa si nikaona upaja wa mtoto....Na nanii ikaanza kusimama. Sasa rey kaniona kua nalikazia macho paja lake lakini harudishii nguo tena ndio anazidi tu kulifunua.. Nikamkonyeza na kumuambia afunike.... sasa kumbe hakunielewa yeye alijua namuita Saa ngapi hajaja mpaka karibu yangu na kuanza kudodosa macho mdondoko...nami nikaanza kulainika taratiiibu
Mara nikaskia naitwa na mama angu
"we jemsi pumbavu wewe, Yaani we mtoto husikii wewe"
"we rey sogea mama angu huyoo"
"mi nataka ajue uhusiano wetu"
"Eti nini?"
Mungu wangu rey ataniletea majanga sasa.... Afu mtoto ndio kanishika kiuno vibaya mno.. na mama angu anatoa macho huyo duu
Je? Nini kitatokea?
0 comments:
Post a Comment