DEREVA TOYO sehemu ya 3b
DEREVA TOYO sehemu ya 3 A
ilipoishiaa,,,,
"haya si ile pale..... umefurahi sasa?"
"aaaahh hapa sasa moyo wangu ni mwemwere mwemwere tu"
Sasa mtoto akawa anavua viatu
Nikamuuliza "mbona unavua viatu?"
Akanijibu "sio viatu tu hadi nguo"
"kwanini sasa uvue?"
"joto bwana, kwani we hulioni?"
"mmhh haya mi ngoja nikaendelee kuwafotoa picha zao"
Sasa nikawa natoka huku naiweka kamera yangu vizuri.... Nikafungua mlango kisha nikawa natoka........
Mara nikavutwa tisheti huku sauti ya rey ikijitokeza
"jemsiiiiii yaani unaondoka kweli jamani?"
ENDELEEAAA...
Kiukweli nilikua na aibu aibu kidogo maana mtoto rey ni mkali ile kinoma na sijui ni kwanini ananikubali kiasi hiki...
"kwani unataka....haaaaa mbona huna nguo?"
Mtoto rey alikua kabakiwa na bikini tu..
"jemsi? unajua nakupenda jemsi eeh?"
"mmhh jamani rey kumbe una chuchu nzuri hivi?"
"tehtehteh kwaio?"
"mmhh lakini si unaona bado nina kazi ya watu?"
"lakini jemsi?"
"Lakini nini rey? wacha kwanza nimalizie kazi ya watu kwanza"
"kwaio Ombi langu limekubalika au?"
"aaahhh sasa? ngoja nifikirie kwanza"
Nilijifanya kama wao jinsi wanavyo tutesa kwa kutuambia kua wanafikiria...
"heee jamani jemsi una kusudi wewe"
"kusudi gani tena?"
"mmhh sawa kama umeamua"
Mtoto alirudi kitandani na kuvaa nguo zake kisha tukatoka wote kuelekea ukumbini..
Niliendelea na zoezi langu la kufotoa mapicha katika sherehe hio
Na muda huo rey sipo nae tena. Maana yupo na rafiki zake katika upande mwingine..... Nikicheki saa inaniambia sasa hivi ni mida ya saa 1:30 jioni...
Daahh ulikua ni muda wa kurudi nyumbani Hivyo nilimfuata yule mama muusika na kumuomba adivansi kama elfu 20 hivi ili nikazisafishe picha zao.... Baada ya hapo nilianza kumtafuta rey, ili niondoke nae, maana nimekuja nae Lakini nimemtafuta ila sikumuona hivyo nikahisi labda huenda akawa amesharudi nyumbani, maana mimi si nilikua bize kidogo. Basi nilirudi nyumbani na kuwakuta wazee wanakula
"lione ndio linarudi saa hii"
Ilikua ni kauli ya baba ikiniambia hivyo
"heee baba jemsi hata mtoto hajakaa ushampalamia na maneno?"
"uyu mtoto wako keshakua huyu... miaka 20 sasa ni kidogo?"
"heee kama wewe ndivyo ulivyolelewa na wazazi wako hivi basi sio kwa mwanangu"
"yaani unapenda kumdekeza huyu mtoto wewe"
Daahh nilikua naangalia na kuskiza maneno yao, maana ata sijui nianzeje kusema
"kaa sasa ule unamsimamia nani?"
"iiiiii hebu muache mwanangu, mbona humpi raha?"
Daahh sikutia hata neno bali nilinawa na kuanza kuula ugali bwana, bila shida yeyote, maana najuaga sana hawa wazee walivyo na visilani utafikiri sio mtoto wake kumbe ni basi tu ili mladi na yeye aonekane kua ndio dingi mwenyewe
BAADA YA SIKU HIO KUPITA
Na leo ni siku nyingine tena Nilitoka mida ya saa 4 hivi kuelekea studio kusafisha picha za watu
Daahh nilikua naenda kwa mguu yaani sikua hata na baiskeli,
Basi nilifika hadi studio moja iliopo maeneo ya mnara wa mwenge kwa chini... hio studio imeangaliana na msikiti wa bondeni... basi niliingia pale nikamkuta mtoto mmoja ni mkali ( mzuri ) huyo duu,
"mambo best?"
Nilianza mimi kumsalimia kisha akanijibu
"poa nikuseidie nini?"
"aahh wewe ndio upo hapa kwa sasa?"
Nilimuuliza hivyo. maana sie niliekua nikimkuta siku zote, kwani aliokuepo hapa alikua ni mwanaume
"ndio"
"oohh yule jamaa yuko wapi?"
"yupo kwa ndani huko"
"ahaa sasa shika hii SD Card ( memory Card ya kamera ) kisha nahitaji hizo picha za watoto uziekee maua na hizo zingine ziache hivyo hivyo bila swaga zozote"
Nilimuambia hivyo kisha akaiweka kwenye kompyuta.. kisha akawa anafanya manjonjo yake pale huku namkodolea macho kweli kweli usoni... maana mtoto ni mzuri balaa Afu kembambaaaaaaaaaaaaaaa Yaani kwa rugha ya sasa hua tunaita kipotabo (chembamba ) Basi mtoto wa kiume nilitokea kumpenda bure tu maana mtoto ana mimacho ya goroli halafu kanaoneka kana hekima kweli...
"okee kaka?"
"mhh ndio ndio"
"njoo saa kumi utazikuta tayari"
"ooOO sawa dada"
"na unataka zitoke saizi gani?"
"aaahhh zote zifanye ziwe 5×7"
"ok sawa we njoo saa kumi"
"sawa usijali"
Nilitoka pale lakini nilikua namkodolea macho huku nikiondoka,
Ilinibidi nirudi kwanza nyumbani maana hali ya njaa ishaanza tayari
Na nikicheki saa inasema sasa ni saa 7 mchana kweupeee, Basi nilifika nyumbani na kumkuta mama anapika msosi
"shkamoo mama?"
"marahaba hujambo?"
"sijambo vp baba yupo wapi?"
"si kaenda kazini?"
"aahhh daah maana nilikua nawaza kama nitamkuta sijui itakuaje"
"mmhh we mvumilie tu baba ako maana sasa hivi anadaiwa na huko gereji kwake"
"anadaiwa? kwani kafanyaje?"
"si hao watu wake sijui wameiba nini uko"
"oohhh mzee wangu maskini duu"
"hahahaha kumbe unampenda baba ako ee?"
"haaa sasa nitamchukiaje? maana najua hii ni kawaida yao"
"mmhhh ni vizuri kama umewajua"
Basi mtoto wa kiume nilikua nimetulia kochini nasubiri msosi wa shikamoo,
Mara niliskia naitwa huko nje na nahisi atakua ni rey
"jimii?"
"naam?"
"njoo uko"
"kuna nini?"
Nilitoka huku nikiwa nimevaa zangu tu kaoshi... maana kajumba ketu kana joto,
Alikua ni rey ndio ananiita
"we jemsi mbona jana uliniacha sasa?"
0 comments:
Post a Comment