DEREVA TOYO sehemu ya 2 B
"mmhh samaani nimekosea"
"ooohh sasa ngoja nikajiandae kisha tutoke maana ni saa tisa kasoro hii"
"poa nami naenda kuvaa ila usisahau kamera?"
"weeee ndio ajira ile"
"poa"
Tuliachana pale kila mtu akaingia kwao.... maana nyumba yetu na yao hazipo mbali sana
mama akaniuliza
"weee jemsi hizo nguo umetoa wapi?"
nikamjibu
"mmmhh mama kwani siwezi kununua mwenyewe?"
Akanambia kua
"kumbe una hela wewe?"
nikamjibu
"aahhh nimenunuliwaa"
Akasema "na nani?"
nikamjibu "rey"
Akasema "ndio mana baba ako anachukia na hata mimi pia nacgukia swala la kua na wanawake, na kama ungelikua na kazi wewe ningekupa mke tu"
"heee mke na udogo huu?
"hebu nitokee hapa"
Basi Tulivaa vizuri kisha nikampitia mtoto rey
"waaaooo jemsi umependeza"
"asante sana rey, kwani bila wewe sijui ingekuaje"
"ok twende basi maana tushaachelewa kidogo"
Basi tuliianza safari ya kuelekea gaden rozi kwa ajili ya sherehe hio nilioitiwa
Kwakua tulikua na taxi hivyo hatukuchukua muda wala nini kwahio tulifika gaden rozi na kupanda lifti hadi huko kwenye huo ukumbi.....
Tulikuta shamla shamla za watu wengi huku wakiwa wanacheza mziki wa taratiibu kabisa
Rehema Alinipeleka kwa mhusika mwenyewe ili nianze kazi ya kufotoa picha
"shkamoo mama?"
Tulimsalimia mama mmoja wa makamo tu
"marahaba hamjambo?"
"hatujambo... Aaahh mama? huyu ni mpiga picha kama ulivyoniambia nimtafute"
"oohh karibu kijana?"
"ahsante mama nishakaribia"
"kijana? unaweza kupiga picha wewe?"
"ndio mama naweza kabisa maana ndio kazi yangu"
Mara akatokea mama mmoja na kuleta unafki wake
"mbona ni mdogo huyu, sasa anajua nini kuusu picha?"
"we mwache tu ajaribu maana sasa hivi tushaachelewa hivyo hatuwezi tafuta mwingine"
Alikua ni mama mhusika ndio aliongea hivyo......
Ikabidi mama mnafki atulie kimyaa
Basi pale pale nilianza kazi ya kupiga picha huku watu wakiburudika, ikafika muda wa shampeni, Kazi yangu ni kufotoa tu huku watu wakikaa mapozi yao tofauti
Kiukweli nilikua nina aibu sana maana kulikua na wasichana wazuri na wenye maumbo balaa, ila nilijikaza nisije haribu kibarua changu bure, maana hii ndio kazi ya kwanza katika masherehe kama haya, Maana nimezoea kupiga watu wa mtaani tu....
Basi ulifika muda wa kunya huku tukicheza... nilijisahau na kilichonileta hapa kwenye sherehe.. kwani nilianza kucheza na mwanamke mmoja hivi huku nikiwa nimenogea na muziki, tena kajua nako ndio kanatelemka
Mara rehema kaja na fujo hizo
"we dada samaani kwani unamjua huyu kijana mpaka ucheze nae?"
"samaani sikujua kama ni wako"
"haya potea basi"
Yule mdada wa watu alitoka kwa huzuni
"mbona mkorofi hivyo rey?"
"kwani yeye ndio kakuleta hapa?"
"kwaio vp sasa tunarudi nyumbani au?"
"heee we jemsi nyumbani saa 12 hii?"
"kwani we watakaje?"
"tucheze cheze kwanza hadi saa mbili hivi"
Basi mtoto wa kiume sikua na kipingamizi chochote cha kumkatali
Basi ukawekwa mziki wa taratiiibu kabisa....
huku tukiwa na vinywaji mkononi.... na saa hio nipo na rey nacheza nae.. ila cha ajabu na chakushangaza naona mtoto rey ananisugulia wowowo lake hapa mbele yangu... afu hakuvaa hata taiti jamani... Ikabidi nimnong'oneze kisiri siri
"we rey mbona mlaini hivi?"
"jemsii ni kwaajili yako"
"kwaajili yangu? kivipi?"
"utajua tu baadae"
"duuuu aisee unaonekana huna hata nanii aisee"
Na muda huo bado tunaendelea kucheza huku tukiongea taratibu
"yaani hapa nilipo jemsi nina.."
"aaahh subiri..... Afu kamera yangu ipo wapi?"
"sasa unaniuliza mimi tena?"
"mungu wangu Afu zile picha za watu Ayyiiiiii"
"we jemsi acha utani kwani uliiweka wapi?"
"sikumbuki niliiweka wapi"
"yaani sheby utaniebisha leo"
"sasa nifanyeje rey?"
"ooohhhhh sory kuna muda ulinipa afu nilipoenda kuchukua chumba nikaiacha kule kule chumbani"
"heee we umechukua chumba cha nini sasa? Au umekuja na shemeji nini?"
"heee kwani we sio mwanaume?"
"uuu un unase unasemaje?"
"bwana we twende ukachukue kamera yako"
Basi mtoto wa kiume nilikokotwa hadi kwenye hicho chumba alichosema kua ndipo alipoacha hio kamera
"haya si ile pale..... umefurahi sasa?"
"aaaahh hapa sasa moyo wangu ni mwemwere mwemwere tu"
Sasa mtoto akawa anavua viatu
Nikamuuliza "mbona unavua viatu?"
Akanijibu "sio viatu tu hadi nguo"
"kwanini sasa uvue?"
"joto bwana, kwani we hulioni?"
"mmhh haya mi ngoja nikaendelee kuwafotoa picha zao"
Sasa nikawa natoka huku naiweka kamera yangu vizuri.... Nikafungua mlango kisha nikawa natoka........
Mara nikavutwa tisheti huku sauti ya rey ikijitokeza
"jemsiiiiii yaani unaondoka kweli jamani?"
je? haka katoto kana nini? maana sikaelewi
LIKES 50 TU
NIITUPIE INGINE SASA HIVI
Sambaza upendo Usiwe Kilaza
0 comments:
Post a Comment