MAHABATi! Beautiful Onyinye wa Bongo , Wema Sepetu ‘Madam’ amedhihirisha kuwa
yeye ni mwanamke tayari wa kuwekwa ndani baada ya kusema anajitahidi kila siku
katika suala la mapishi ili asimlishe viporo
mwandani wake , Nasibu Abdul, ‘Diamond’
Akipiga domo na paparazi wetu , Wema alisema kama mwanamke anajua thamani
ya mwanaume siku zote hata kama ‘baby ’
wake atarudi usiku, lazima aingie jikoni kupika na haweki chakula kwenye ‘ hot pot ’.
“Siku zote si kwamba najisifia ila kwa jikoni ndiyo mwenyewe sasa kwa nini nipike chakula halafu niweke kwenye hot pot ? Kwangu siruhusu kabisa itokee, ” alisema Wema.
Jivunie kuwa mwana ludewa
Blogger Comment
Facebook Comment