Wakulima wa mahindi wilayan ludewa mkoan njombe wametakuwa kuwa tayari kwa kuuza mazao yao kwa wakala wa chakula wa taifa ,
hayo yamesemwa na mbunge wa jimbo la Ludewa Mh.Deo Filikunjombee wakati akitoa salam zake za pole kwa wafiwa katika mazishi ya mzee mshuri na kada wa ccm wilaya ya Ludewa mzee chales mwasanga aliyefariki dunia tar 19.8,2014 katika hospitali ya wilaya ya ludewa kutokana na kusumbuliwa na maradhi mbali mbali ikiwa ni pamoja na moyo,bp,athma,
katika mazishi hayo yaliyofanyika nyumban kwake marehem katika kijiji cha Milo wilayan hapa yaliuzuliwa na viongoz mbali mbali wa chama cha mapinduzi pamoja na serikali katika kuuaga mwili wa marehem.
Mh.filikunjombe alitumia nafasi hiyo kueleza mambo mengi ambayo yamefanywa na marehem Chales Mwasanga kama mshauli wa vitu mbali mbali pia hakusita kueleza jinsi alivyomfaham mzee huyo kwa kufurah na watu mda wote hata akiwa kwenye pikipiki alisimama na kuanza kucheka na kisha kutoa salam kwa kila mtu,
"nilimfaham jinsi akiwa kwenye pikipiki yake ya one ten alisimama na kusalimiana kisha anacheka sana nilijua kwangu tu kumbe ni kwa wote"alisema mh.filikunjombe.
"Pia aliniambia kijana pambana tunahitaj maendeleo ya ludewa hasa pale ambapo wananch wengi wamekuwa na wasiwasi juu ya kupita tena kutokana na ukali wangu bungen"aliongeza mheshimiwa wa jimbo la ludewa.
Katika kuhakikisha maendeleo yanapatikana wilaya ya ludewa marehem chales mwasanga alitumia usafili wa pikipiki yake ya zaman kuzunguka vijiji vyote vya ludewa kukusanya sahihi ya wazee wenzake na alifanikiwa kukusanya sahihi mia tano zilitakiwa sahihi mia sita.
Aidha ameongeza kuwa marehem alikuwa na mtu wa pekee zaid hasa pale alipo ambiwa achague zawad kutoka kwa mbunge na yeye akachagua kuwekewa malulu katika kanisa lake la wataka tifu wote lililopo ludewa,
katika swali ambalo aliulizwa na marehem kwa mara ya mwisho ni lini serikali wataanza kunua mahindi swali ambalo marehem chales mwasanga alimuuliza mh.mbunge.
"nawaambien sili hii marehem aliniuliza ilo swaali lakin sikumjibu kutoka na kuwa na kazi nyingi sina hiyana kwa kuwa leo katutoka nitamjibu mbele ya kaburi lake mahindi yataanza kununuliwa juma tatu ya tarehe 27 mwez huu wa nane"alisema Mh.Deo fikunjombe amewataka wananchi kuwa na subili mahind yataanza kununuliwa ivi karibun.
Kwa kata milo mzee charles mwasanga alihakikisha kijiji hicho kinapata umeme baada ya Mh.rais Kikwete kupendekeza kuwekeza katika asal na yeye kumshauri mbunge tuanze na umeme na sasa kijiji hicho kina umeme.
Kwa pamoja waliweka mataji na mishumaa katika kaburi la mzee mashuhuri mwasanga ambaye ametutoka ,,
BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA .
JINA LAKE LIHIMIDIWE
Jivunie kuwa mwana ludewa
Blogger Comment
Facebook Comment