MR NICE AWAVUA NGUO JINI KABULA, LULU

ninakuhabarisha kutoka ludewa njombe tanzania
Mr Nice akiwa na Jini Kabula.
Huku akiwahusisha warembo hao na skendo mbaya ya uchangudoa, Nice aliwaruka vibaya huku akidai jambo linalomkera zaidi ni kitendo cha Kabula na Lulu kujipakazia kuwa yeye ni mume wao.

Nice aliendelea kuwapaka ile mbaya wasichana hao wanajiita watoto wa mjini huku akidai kuwa hafanani na sampuli yao hata tone.

“Wamechanganyikiwa na maisha, mtu huwezi kuitwa Jini, kwanza nawashangaa sana kwasababu siwatambui, wasitake kutafuta umaarufu kupitia kwangu,” alisema Nice anayejiandaa kwenda nchini Norway katika mwaliko wa kikazi.
Lulu John.
Amani lilimtafuta Jini Kabula na kumsomea ‘eituzedi’ ya aliyotoa Nice ambapo alikuwa na haya ya kusema: “Hawezi kututukana sisi wakati tumemfuga hapa mjini, hana lolote sisi hatuwezi kujipendekeza kwake, suala la uchangudoa, hatujawahi kujihusisha na ufuska huo.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: