Michezo; Ivo Mapunda asaini misimu miwili Simba Sc

ninakuhabarisha kutoka ludewa njombe tanzania

 KIPA namba moja wa Tanzania, Ivo Philip Mapunda, usiku huu amesaini Mkataba wa mwaka mmoja na nusu kujiunga na klabu ya Simba SC ya Dar es Salaam, akitokea Gor Mahia ya Kenya.

Ivo anasaini Simba SC, baada ya kung’ara akiwa na kikosi cha Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge mwaka huu.



Kipa Ivo Mapunda akitia dole gumba kwenye fomu za usajili za Simba SC baada ya kusaini usiku huu pembeni ya Katibu wa Simba SC, Wakili Evodius Mtawala.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: