Taarifa rasmi ya kombe la Dunia


fifa_world_cup_trophy_1_1600x1200Kombe la Dunia tayari limetua jijini Dar es Salaam ambapo limepokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na kutolewa kwa msafara wa magari 10 aina ya Hyundai. Watanzania watapata fursa nyingine ya kuliona kombe hilo hapo kesho katika Uwanja wa Taifa jijini Dar kuanzia saa 3 asubuhi,katika taarifa za mwanzo zilizotoka ilikua kuliona jioni ya leo kwa wakazi wa Dar es salaam kisha kombe kuelekea Mwanza.


ninakuhabarisha kutoka ludewa njombe tanzania
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: