MTOTO MWENYE UWEZO WA AJABU: ANAJUA KUSOMA NA KUANDIKA NA HAJAWAHI KUKANYAGA HATA CHEKECHEA..!!


http://www.theclicktz.com
Mtoto huyu anayejulikana kwa jina la Hadija, Inasemekana kuwa ana uwezo mkubwa na waajabu kiakili. Mtoto hadija hajawahi kwenda shule kabisa kwani alitelekezwa na wazazi wake wote wawili pindi alipozaliwa na kuwa mtoto wa mtaani. Wenzake anaoishi nao wakihojiwa walieleza kuwa wanamtegemea sana hadija kwenye kusoma na kuelewa vitu mbali mbali, alianza kusoma akiwa bado mdogo sana na kwasasa hivi hata baadhi ya hesabu hufanya, wenzake wakisema kuwa tunashangaa sana kwani siku zote tuko nae sasa hatujui hata alienda lini shule.

Mtoto Hadija akihojiwa , alisema kwamba angependa sana siku moja kusoma na yeye awe msomi kama watoto wengine.
ninakuhabarisha kutoka ludewa njombe tanzania
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: