LUDEWA
Umoja,Amani na Mshikamano
vimeaswa kudumishwa ndani ya familia, hadi taifa haswa kwa akina
mama na watoto wadogo ambao hupata tabu mara amani inapovurugika
ndani ya nchi kutokana na sababu mbalimbali hasa ugomvi wa kisiasa na
dini ..
Hayo yalisemwa na wa umoja wa akina mama Taifa [UWT]
Mh. AMINA MWAKILAGE
na mbuge wa viti
maalum mkoa wa kinondoni wakati akihutubia mamia ya wananchi wa
Wilayani Ludewa Mkoni Njombe walikokusanyika katika kata za
Mundindi,Ludende,Milo,Mlangali,Mkiu pamoja na Mkongobaki.ambaye alikuwa anamwakilisha Mh,sofia simba mwanyekiti wa uwt taifa
pia aliongozana na Pia aliongoza na viongozi mbalimblia wa kitaifa alikuwepo mjumbe wa kamati kuu ya kamati ya ccm pamoja na taifa na mbunge wa viti maalum mkoa wa Njombe Docta Pindi Chana viongozi mbalimbali wa chama cha mapinduzi mkoa wa njombe akiwemo mh.honoratusi mgaya,
Hata ivyo amesisitiza kwa
wanachama wote wa ccm kudumisha amani ndani ya chama cha mapinduzi
ili kujiepusha na vurugu za kisiasa kila kukicha ambazo husababishwa
na wanasiasa wachache ndani ya vyama vya siasa.
Kwa upande wake mjumbe wa
kamati kuu ya kamati ya cm taifa na mbunge wa viti maalum mkoa wa
Njombe Docta Pindi Chana amewaomba wanachi wa Wilaya ya Ludewa Kuwa
na imani na chama cha mapinduzi pamoja na mshikamano ili kuhakikisha
chama kinaleta mabadiliko kwa wananchi wa Ludewa na Taifa kwa ujumla.
Pia Katibu Mkuu wa UWT,
Amina Mwakilagi amesema kuwa ziara hiyo Mkoani Njombe ni mwendelezo
wa Mikoa yote ya Tanzania Bara na kutoa shukrani kwa wananchi
pamoja na pongezi kwa Rais Kikwete kutokana na ushindi alioupata
katika uchaguzi uliopita wa mwaka 2010 .
kwa upande wa wananchi wa Wilaya ya Ludewa Wameshukuru sana kwa kufikiwa na uongozi huo mkubwa wa kitaifa kwa kufanya ivyo kutawasaidia wananchi pamoja na wanachama wa chama cha mapinduzi kuwa na imani na chama cha mapindizi kwa kata za ludewa ....
0 comments:
Post a Comment