- Kilimanjaro Premium Lager inawakaribisha kushuhudia Bonanza kubwa la aina yake Jumapili hii tarehe 27 October!, Kuanzia saa nne Asubuhi. Mashabiki wa timu hizi kubwa Tanzania watashindana katika michezo mbalimbali kama vile;
Ø Myama
Choma na Burudani nyingine nyingi zitakuwepo…
- Mkoani Mwanza; Bonanza la Kili Nani Mtani Jembe litafanyika katika uwanja wa Polisi Mabatini!!. Kutumbuiza jukwaani watakuwepo Sebedack Music Band… wana Kusebeduka!..
- Mkoani Arusha; Bonanza la Kili Nani Mtani Jembe litafanyika katika viwanja vya General Tyre!!. Jukwaani watakuwepo…The Aqua Band!..
0 comments:
Post a Comment