Video ya Bila Kukunja Goti kuanza kuonyeshwa katika channel kubwa 4 za muziki Africa

The most awaited video kutoka kwa wakongwe wawili nchini Fa na Ay, "Bila Kukunja Goti" inatarajiwa kutoka sikuendeleaa.....
yoyote kuanzia kesho. Video hiyo ilifanyika nchini South Africa chini ya kampuni ya Godfather na kwa mujibu wa maelezo ya Ay na Fa, tayari wameshakamilisha process ya kuzisambaza katika vituo vikubwa vya television kama Trace, Mtv Base, Channel O pamoja na Sound City na video hiyo imepitishwa tayari kwa kuchezwa baada ya kuoneka kufikia viwangi vyao.
MwanaFA
Siku nyingine hatua nyingine...video ya BILA KUKUNJA GOTI imefanikiwa kufikia viwango(imepita) TRACE,MTV Base,Channel O na Sound City...Yes,itaonekana kote huko..
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: