Zambia imeanza michuano ya Kombe la Mataifa Afrika kwa sare ya bao 1-1 dhidi ya DR Congo.
Mechi nyingine kutoka Kundi B ni kati ya Tunisia dhidi ya Cape Verde ambayo pia imemalizika kwa sare ya bao 1-1 pia.
Zambia ndiyo walianza kufunga kupitia Given Singuluma kabla ya Wakongo hawajajibu mapigo.
Katika mechi ya usiku huu, Tunisia pia walianza kufunga na Cape Verde wakasawazisha kwa mkwaju wa penalti na kufanya timu zote nne katika kundi hilo kuwa na pointi moja tu.
ZAMBIA ambia
1:1
D Congo RD CONG...
TUNISIA unisia
1:1
ape Verde CAPE VE..
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment