Muda mfupi baada ya mwanamuziki wa Tanzania, Naseeb Abdul “Diamond”, kuonesha furaha ya kuwa baba mtarajiwa kwa mpenzi wake wa sasa Zarinah Hassan, “Zari the boss lady”, mume wa mwanamama huyo, afunguka na kudai hawezi kumzalia mwanamuziki huyo.
Ivan Ssemwanga, ambaye ni mzazi mwenziye Zari, mwenye watoto watatu amesema kutokana na umri wa mwanamama huyo kukaribia miaka 40 sio rahisi kuweza kuzalia mwanamuziki huyo.
Amedai kuwa watoto wake mwenyewe ameshindwa kuwahudumia na kuzurura na mpenzi wake mpya Diamond, sehemu mbalimbali Afrika je mtoto mchanga ataweza?
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment