KIVAZI Cha LULU Chaonyesha Tatoo Yake Ya Juu Ya Kiuno

Muigizaji Diana Elizabeth Michael kama anavyojiita kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM, maarufu kwajian la LULU ni mmoja kati wa mastaa wa Bongo movie wanaotumia kurasa zao kwenye mtandao wa INSTAGRAM ku-Share nasi picha zao, stori na jumbe mbalimbali . Hivi majuzi mwanadada LULU aliweka picha matata (icheki hapo juu) ambayo iliwafanya Followers wake kwenye ukurasa wake watoe comments na like za kutosha kutokana na kile ambacho wengi walidai kuwa picha hiyo ni NOUMA. Comment za vidume wengi walionyesha kupagawa na urembo wa mwanadada huyu na kuishiakumsifia hadi kupitiliza ili mradi kila mmoja akitoa lake la moyoni. Vile vile wadada pia hawa kuwa nyuma kutoa comments zao za kumsifia jinsi alivyo SHINE na kuwa TAG ma best zao kama kawaida. Bila kuwa sahau wapondaji wachache…. Kama unavyoina hapo juu, nimwanadada Lulu amevalia Ki-sketi kifupi cha kitenge chenye maua maua ambacho kimemuacha wazi sehemu yote na miguu na pagaja kwa kiasi Fulani huku juu ametupia ki –t-shirt cha rangi nyekundu ambacho kinamandishi meusi, kiki muacha wazi sehemu za juu kidogo ya kiuno na hivyo kuonyesha tatoo yake iliyopo juu kidogo ya kiuno upande wa ubavuni.... Mara nyingi tatoo ile ya juu mgongoni na ile ya juu kifuni ndio huwa zinaonekana mari nyingi kwenye picha zake.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: