Katika hali isiyokuwa ya kawaida kijana mmoja aishiye wilayani ludewa mkoani njombe kata ya ludewa katika kijiji cha ludewa kijijini ( jina limehifadhiwa ) hii leo amejikuta anatembezwa mtaani uchi wa mnyama.
Kutoka kwa chanzo chetu cha habari kilitanabaisha kuwa kijana huyo alikuwa katika harakat za kuiba redio katika nyuma ya jirani ndipo alipofumwa na mwenye nyumba.
Kitendo hicho cha kidhalilishaji kimepokelewa kwa hisia tofaut na wakaz wa wilayani hapa,
kwa upande wa mama mzazi wa kijana huyo alisikika akilia kwa uchungu huku akitoa maneno makali kwa vijana waliofanya kitendo huchi na kukiri kuwa kamwe hata beba mimba tena.
Vijana wapatao wanne waliokuwa na jazba kubwa kwa wiz unaoendelea kujitokeza wilayani hawakuwa mbali kumtembezea kichapo kijana huyo aliyevuliwa nguo..
Kwa upande wao vijana waliofanya tukio walisema hawapendi tabia ya wiz na hiyo ndio dawa yao kuanzia sasa wilayan hapa,,
naye kijana huyo alipoachiliwa baada ya saa nzima kutembezwa uchi alitokomea kusiko julikana huku akisisitiza anakwenda polisi kushtak kuwa amedhalilishwa
Walisema hiyo ni chachu kwa wiz wengine ili waweze kuacha,,,,,,,,
endelea kufuatilia mtandao huu kwa habari zaid,,,,,
Blogger Comment
Facebook Comment