VIVUTIO VYA MAAJABU: Usivyofahamu kama vipo Tanzania




Tanzania ina vivutio vingi lakini huenda umezaliwa na unaishi Tanzania lakini kuna vivutio ambavyo vinapatikana Tanzania haujawahi kuviona na huenda ama umevisikia au hujawahi pia hata kuvisikia kama vivutio vya namna hiyo vipo.
Naibu Spika Dr. Tulia Ackson ni mmoja wa Watanzania ambao wamefanya ziara katika vivutio mbalimbali vya maajabu vilivyopo katika Mkoa wa Mbeya.



Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: