Awashangaa wanaozungumzia picha yake baada ya kujifungua



Faiza Ally akiwa katika picha akionekana kumpokea mtoto aliyejifungua
Msanii wa filamu, Faiza Ally amedai kushangazwa  na mtazamo wa watanzania wanaopoteza muda wao kuizungumzia picha aliyoipost  mwishoni mwa Juma lililopita ikimuonesha sehemu za maungo yake zikiwa wazi baada ya kujifungua mtoto wa kiume ambaye kwa sasa ana miezi kadhaa.
Mrembo huyo mwenye vituko vingi ambaye pia ni mzazi mwenzake na Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi almaarufu Mr SUGU amedai kuwa haoni vibaya kwa alichokifanya kwakuwa amekipenda na amehidi kukifanya tena na itakuwa mbashara wakati wa kujifungua.
Katika Picha hiyo, kupitia ukurasa wake wa Instagrama Faiza aliandika:"Sikujua kama mna ujinga wa kiasi hichi
Maisha

Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: