Wajue mapacha ambao wanachangia mapenzi kwa mpenzi mmoja



Mapacha ambao huwezi kubaini tofauti yao kwa haraka
Lucy na Anna ni mapacha ambao wanatokea jimboni Perth nchini Australia, mapacha hawa wamekuwa wakifanya vitu vinavyofanana kila wakati.


Lucy na Anna wakiwa wanajiremba
Lucy na Anna wakiwa wanajiremba
Kutokana na mwonekano wao mtangazaji mmoja wa televisheni kutoka japani amesema hawa ndiyo mapacha wa kipekee duniani.

Je mdau wangu wewe unaweza kuwatofautisha warembo hawa
Je mdau wangu wewe unaweza kuwatofautisha warembo hawa
Warembo hawa wameonekana kujizorea umaarufu duniani kutokana na kufanana kisura,kufanya kazi moja kwenye kituo cha kuwatunza watu wazee, kutumia akaunti moja ya facebook, kutumia kitanda kimoja, kupokea mshahara mmoja pia kuchangia mapenzi kwa mpenzi mmoja.

Mapacha hao wakionesha tabasamu  lao
Mapacha hao wakionesha tabasamu lao
Hata hivyo kwasasa mapacha hao wamealikwa katika mashindano ya kutafuta mapacha wanaofanana kila kitu nchini Japani na kuna uwezekano mkubwa kwa mapacha hao kuibuka washindi.

Mapacha hao wakiwa na mpenzi wao ambaye ni fundi umeme
Mapacha hao wakiwa na mpenzi wao ambaye ni fundi umeme

Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: