CHOMBEZO; HEHEEE, KANTANGAZEEE!!! SEHEMU YA KUMI NA TANO



0718603654

Kabla sijateguliwa mzungu huo, nami pia ninakumbuka ule mzungu wa kinu na mchi ninapata wahaka wa kutaka kujua maana zake. Lakini tukiwa uchi wa nyama sebuleni kabla Matentelee hayajaendelea mara tunasikia mlango ukigongwa kwa nguvu huku sauti ya kikakamavu ya kiume ikiamrisha kwa nguvu.
“Fungua mlango au tunauvunja!!!
12
Tunatizamana kwa mshangao, jibu la mgongaji ni nani hatulipati, wala kwa nini anagonga kwa shari namna hii. Nyege zinaniruka, zinanitumbukia nyongo, kiranga komo! Wahaka na presha inanipata, woga wa kijinga najishangaa unanitawala sana moyoni mwangu. Nasikia mkojo na haja kubwa kuwa zimenibana sana. Mkuyati sijui muda upi kwa hapa hata ulivyonywea sina habari, ninaiona imesharudi nyuma imekaa kama siyo hiyo iliyokuwa ikifanya matentelee muda mfupi uliopita.
Ninaamua kuchukua upande wangu wa Khanga ninauvaa. Njasi nae anavaa nguo yake, chupi na sidiria anaifunika katika kitambaa cha sofa. Anajikausha kama siyo yeye, aliekuwa katika burudani pevu muda mfupi uliopita.
Baby Girl anainama anaiokota Khanga yake anaivaa, kisha ananipa ishara ya mie kwenda chumbani kwangu.
Siifanyi ajizi ninainuka haraka ninachepukia chumbani kwangu kwa haraka huku mapigo ya moyo yananienda mbio kweli kweli. Ninaingia chumbani kwangu, ninaufunga mlango kwa ndani kwa funguo. Ninautoa ufunguo mahala pake, kisha ninaweka sikio langu katika tundu la funguo ninabanisha, ninatega sikio ili nisikilizie kunani huko sebuleni.
Nikiwa chumbani kwangu ninasikia sauti ya mlango wa mbele ikifunguliwa. Ninazidisha umakini sana wa kusikiliza.
“Wana usalama, tunatokea katika kituo cha Tabata, Je?! Dobe tumemkuta?”
Ninaposikia askari wananiuliza mapigo ya moyo yanazidi kunienda mbio kama saa mbovu. Kosa langu silijui, hadi askari waje kunikamata nimefanya nini?!
“Dobe ametoka asubuhi hii amekwenda kazini kwake kwani amefanya nini?!”
Ninaisikia sauti ya Baby Mwanamtama akiwauliza askari ambao hadi sasa sijui idadi yao hasa ni wangapi kwani mzungumzaji ninamsikia ni mmoja tu.
“Unaweza kutuonesha chumba chake ili tuthibitishe kama hakina mtu?”
Ninaisikia tena ile sauti iliyoniulizia mwanzo, nami ninauweka kwa mapepe ufunguo katika tundu lake wala haujakaa vizuri, lakini kwa kuwa nimeshaufunga mlango kwa funguo, ninauacha katika hali hiyo, mie ninanyata hadi uvunguni mwa kitanda ninajisweka ninajipinda, ninaenea huku ninabana pumzi kwa mchecheto. Sasa kwa nilipo umbali wa kitanda na huku uvunguni nilipo, ninashindwa kusikia kwa kwa usahihi sauti zinazozungumza sebuleni.
Dakika kama mbili tatu hivi tangu niwe hapa uvunguni ninausikia mlango wa chumbani kwangu, ukisukwa sukwa kuhakikisha kama umefungwa au laa.
“Jamani mbona mnakosa ustaarabu, nimewaambia mtu hayupo amekwenda kazini, mlango wake ameufunga, ufunguo ameondoka nao mwenyewe, sasa nia yenu mnivunjie mlango wangu ama kitu gani? Kwanza amefanya nini huyo Dobe hata afatwe namna hii kama ameuwa mtu?”
Hatimae ninasikia sauti ya Baby Girl kwa vile wanaongelea nje ya mlango wangu, wamesogea kutoka kule sebuleni.
“Huyu Dobe ameiba pesa kazini kwake. Ameondoka tangu jana na simu amezima. Meneja wake amekuja kufungua kesi, na sie tumetumwa na mkuu wa kituo ili tumkamate twende nae kituoni, hata hapa anapokaa ametuelekeza huyo meneja wake, hadi chumba cha Dobe kilipo. Sasa wewe unapotuambia kuwa amekwenda kazini ndiyo hatukuelewi kabisa, wakati kazini kwake tayari amekorofisha, na meneja wake anatokea kazini kwake Dobe hayupo!”
Ninaisikia sauti ya askari ikizungumza, nami mara moja ninaona Meneja wangu anataka kunipotezea muda tu kwa vile nimeikataa ofa yake ya kwenda kukaa katika nyumba aliyonipangia.
“Dobe Boy hapa ameondoka asubuhi, amesema anakwenda kazini kwake kama kuna wizi huko mie sijui, labda akirudi nimwambieje?”
Baby Girl ninamsikia akiwaeleza maaskari maneno hayo.
“Sikia bi mkubwa, tunakuachia namba za simu, tafadhali ukimuona Dobe anaingia tu basi tutumie message tutakuja kumkamata.”
Askari ninawasikia wakimwambia Baby Girl na ninasikia baadhi ya namba zikitajwa.
Kimya cha muda kinapita ninafikiri ninafanyaje na janga hili na nishatangazwa kuwa mie nimekwiba? Mie kweli ningeiba Bosi angekuja jana kukazana nami? Haya hivi mwizi aliekuibia kweli malipo yake anapangiwa nyumba ya kukaa? Lakini sijui alichosema huko Polisi kwani aliewahi Polisi kufika, ndiyo anaesikilizwa kwanza na kupewa kipau mbele.
Hakika meneja ameshamwaga fedha zake ili kunikomoa! Sasa ninafanyaje mie. Nikiwa nimezama katika lindi la mawazo, mara ninasikia mlango wa chumbani kwangu unagongwa taratibu. Mie sitaki niamini kuwa hawa jamaa wameshaondoka kwani Polisi wana mbinu nyingi sana za kumkamata muhalifu. Ninabana pumzi kimya ninatulia tuli.
Macho yangu hamadi, ninamuona Nge anakuja mbele yangu huku mkia wake ameupindisha juu kabisa.
Ohooo majanga haya sasa, wewe Nge wewe unanitafutia Lakaza tan maanani! Ninajisemea kimoyomoyo ninarudi nyuma nyuma taratibu, na Nge anaongeza mwendo kunifata. Huku masikio yangu nayo bado yanasikia mlango ukigongwa bila mtu kusema neno. Hatimae ninagota mwisho katika ukuta. Huku uvunguni kuna kiza, kisha nimeweka makolokolo kibao. Huyu Nge kutokana na rangi yake ilivyo, wala simuoni vizuri kama bado yupo au amekata kona maana nimejisweka mwisho kabisa nimejipinda kweli kweli. Macho nimeyakodoa hadi mwisho ninamtazama Nge, lakini mbele ya macho yangu simuoni! Sasa jasho linanitoka, kwanza kwa joto na hewa nzito ya hapa uvunguni, lakini pia presha ya kutaka kukamatwa na polisi kwa tuhuma ya wizi wa kutengenezwa. Lakini huyu Nge yuwapi jamani, maana naona anatafuta kukamatishana tu huyu sasa!
Ninatizama mbele ya uvungu kwa makini lakini simuoni. Ninaanza kujitisha mwenyewe katika fikira zangu. Huyu Nge mwenzake nimevaa Khanga tu sina ngu…….! Ninashindwa kumalizia fikira zangu, kwani khanga niliyokuwa nimevaa ninaiona chini nje ya uvungu wa kitanda! Eboo kumbe na hiyo Khanga yenyewe pia imenidondoka wakati ninaingia uvunguni hapa nipo uchi wa mnyama! Haya si balaa hili.
Heee Nge we Nge wee, ushike adabu yako, na adabu ikushike. Kama ndiyo leo umeamua kuniuma basi chonde chonde niume popote niachie huu Mkuyati tu uwe salama. Maana ukiuuma huu ushanikhanithi ujue. Ninasema rohoni peke yangu kama mwehu. Hapa ukinipima mapigo ya moyo, basi ujue yamepanda hadi kilele cha kupanda! Huyu Nge kanitia fadhaa kweli kweli sina amani kabisa, kwani Nge mwenyewe kashiba au sijui ana mimba maana ni mkubwa hasa! Mara ninasikia katika mguu wangu kuna kitu kinanitambaa. Ninapigwa na ganzi mwili wote kwa kihoro. Kwani ninaona hapa nikijitingisha tu, huyu anaenitambaa kama ndiye yule Nge, alienipotea machoni mwangu, hakika atanimaliza huyu!
Ninatetemeka kweli kweli kwa woga, kwani Nge anauma vibaya msinicheke mwenzenu. Hasa sumu yake weee ni balaa, ukizingatia nipo uchi maana yake hana hata kizuizi cha kuniuma yaani nina majanga siyo ya kitoto.
“Wee Dobe fungua bwana washaondoka wale Polisi, sasa unakausha nini humo ndani?”
Ninamsikia Baby Girl sauti yake akiniongelesha, lakini ninashindwa kumjibu mwenzake hali tete huku.
“Wee Dobe wee, umelala hebu fungua huo mlango bwana tuulizane sasa utakaa humo ndani hadi lini?!”
Baby Girl bado ananisemesha lakini masikini hajui madhila yanayonikabili mwenzie mbona asingenilaumu hivyo? Nikiwa ninataka kumuitikia mara ninamuona yule Nge alienipotea amesimama mbele ya uso wangu Hamadi! Ninampuliza, kwa mdomo kama napuliza moto vile, ili asogee mbali kwani akiniuma kidogo tu ni kelele hadi wale askari kama bado hawajenda mbali mbona watakuja kuniokota tu!
Fuu, fuu, fuuuuuuuh.
Nge kanikazia ananitazama macho! Mikono yangu nimeifunika katika Ashaakum. Nimeshika bara bara nikiwa nimelala kifudi fudi.
Ninachanganyikiwa huyu anaenitambaa ni mdudu gani wakati Nge aliekuwa ananinyima amani ninamuona mbele ya macho yangu. Ninajitisha labda Nge Dume kwa vile huyu nimuonae hapa, ana kila dalili yakuwa ni jike.
“Wee Dobe, husikii fungua mlango huo bwana wameshaondoka, dume zima unakuwa muoga wa Polisi namna hiyo!”
Sasa sauti ya Njasi ninaisikia ikinishusha na kunitoa akili, lakini ninapita wapi, na jamaa amekaa mbele yangu, huku nyuma ni ukuta na kitanda kimefika mwisho, lakini pia sijui mdudu anaenitambaa sasa ni mdudu gani, kwani nae akiwa ndiyo Nge hapa maumivu yake ni mbele na nyuma.
Jasho jingi linaendelea kunimwagika. Nikiwa ninatafakari mara ninasikia sauti ya funguo ikidondoka kutoka katika mlango! Inaonesha kuna funguo nyingine iliyoingizwa kwa nje imesababisha ufunguo wa ndani ambao haukukaa kwa vizuri kuanguka. Ninasikia sauti ya kitasa kikinyongwa na mlango kufunguliwa!
“Wee Dobe wee, umejificha wapi mwanaume muoga kama wewe wala sijapata kuona hee tunakwambia Polisi wameshaondoka wewe bado huamini tu, au umeiba kweli wewe!”
Baby Girl ninamsikia akiniulizia kwa dhihaka kwani kitandani hanioni na mie sina kabati aseme labda nimejificha kabatini! Chumba changu siyo Master aseme labda nimejificha chooni. Nahisi ameiona Khanga iliyokuwa pembeni ya kitanda, ninasikia sauti za miguu ikitembea kuja uelekeo wa kitanda kilipo.
Mara kiza kinazidi hapa uvunguni. Baby Mwanamtama na Njasi kwa pamoja wanachuchumaa.
Ninaanza kuiona miguu yao, kisha ninaona magoti yao na sasa ninaona sura zao wananichungulia uvunguni huku mikono yao wameshika kitanda.
“Wee Dobe wee, haya kujiswekwa huku namna hii ndiyo nini, tangu mwanzo tunakwambia askari washaondoka wewe umebanisha tu huku, mwanaume unakuwa muoga kama mwanamke?”
Baby ananiambia maneno ya kejeli na mie wananizidisha hofu, kwani huyu Nge sasa na kiza hiki walichokisababisha wao anaweza kunidhuru huyu.
“Ninaomba inueni kitanda taratibu.”
Ninafanikiwa kusema maneno hayo kwa sauti ya chini.
“Acha ujinga wee, mtanda huu ulivyo mzito nani umtoe ngwe ngwe hapa, kwani umeingiaje huku hadi sasa ushindwe kutoka, tokea huku huku.”
Baby ananijibu bila kujua mwenzake ningeshatoka saa nyingi tu sema ndiyo nimekwama huyu Nge kakaa pabaya.
“Jamani nitaumwa na Nge yupo mbele yangu mnamzinga simuoni, angalieni asije akawafata nyie akawauma, mwengine nahisi yupo mgongoni sijui, hebu inueni kita…….!”
Kwani nimemalizia basi kusema kitanda, Njasi ameangukia kwake, Baby ndiyo usiseme kwani ameanguka mweleka wa chali, khanga imefunuka vyombo vyote nje!
“Nge huyoo, Nge huyoo, nakufaaaa!”
Baby anapiga kelele wala huyo nge mwenyewe hajamuona sikwambii kumuuma haya angemuuma ingekuwaje?!
Ninafanya maamuzi mwenyewe ya kutoka hapa uvunguni. kwani nitakaa hapa hadi saa ngapi. Huyu Baby anavyopiga makelele je akijaza watu kisha na mie nipo humu uchi itakuwaje? Ninaamua kubimbilika upande ambao ninahisi nge nimemuacha kulia kwangu mie ninatoka nduki uvunguni.
“Huyoooo Nge huyoooo!!!”
Ninasema kwa sauti huku ninatoka uvunguni kwa wepesi, ninajigonga na fumbati la kitanda kichwani potelea mbali sijali bora maumivu haya kuliko ya Yule Fataani Nge.
Ninafanikiwa kutoka huku ninapotoka ninamuona Baby anakurupuka pale chini alipolala khanga yake anaiacha chini mbio anawahi mlango akiwa uchi kama alivyozaliwa. Njasi anafanikiwa kuinuka nae anataka kukimbia hasa anaponiona mie ninajikung’uta huku mashaka yamenijaa anahisi asije kudondoka akamfata yeye.
ITAENDELEA KESHO KATIKA MUDA WAKE





Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: