Simurilizi ya mapenzi

Chombezo maridhawa la mapenzi

Chura amepevuka

EPSODE YA IV

"enhee! Hayo sasa maneno. Unajua nini mamaake, mwenzako leo nimeshindwa kuzizuia kabisa hisia zangu yaani kila nikikuangalia hapa nakutamani, hebu fanya fanya tukamalizane kikubwa""huna hata aibu yaani unasemga kabisa kuwa umenitamani""sasa ulitaka nisemeje? Ulitaka nianze kuimba nyimbo za kina Diamondi huko au kina Kiba eti nikilala naota, naota kama unakuja au zile baby ni kiss kiss. Aaah! Sisi watu wazima bwana lazima tuguse pale ambapo hisia zetu zimegota" alivyosema hivyo mama Joy alikuwa hana mbavu, alikuwa akicheka mtindo mmoja. Hadi pale J alipomkatisha kwa kumwambia kuwa Joy anakuja."poa nimekuelewa J fundi. Hapa pamebakia kama sahani mbili tu za wali ngoja nimuachie huyu akija na nimsaidie kuondoa hivi vyombo nimbakishie hii sufuria tu na vitu vichache wewe tangulia nikukute kwako maana lazima nioge, nitakuja"alisema mama Joy."kweli utakuja?" akauliza J."sasa wewe umesha sema sisi ni watu wazima nikudanganye ili iweje""nahofia usije ukanichomesha mahindi" alisema J tena na kumfanya mama huyo azidi kucheka kisha akamnong'oneza kwani kwa muda huo tayari Joy alisha karibia hapo."lazima nije J fundi ili unifundishe, hapa uliponigusa tu nimepata shoti" alipomaliza kusema hayo alimgeukiamwanae ambae alikuwa kavimba kwa uchovu wa nenda rudi nenda rudi."umepata mama?" alimuuliza mwanae mama huyo."nimekosa, mi si nilikuambia, kwanzaMgosi hana tabia ya kutoa chenchi hadi ununue kitu"basi mama. Sasa hapa zimebaki sahani tatu au mbili, kaakaa kidogo lakini siyo lazima ukae sana ukichoka nenda kapumzike mwanangu kesho uwahi shule mimi ngoja nikusaidie kutoa hivi vyombo wewe utaingiza hiyo sufuria na hizo sahani na hiyo ndoo ya maji, nitatokakidogo" alitoa maagizo mama huyo na kuanza kazi ya kuingiza hivyo vyombo ndani huku J akiwa anaondoka taratibu kwa tambo."kwa mara ya kwanza leo ndani ya mji huu, J naanza mbwembwe zangu. Nina maji sana aisee sipati picha nikimpata huyu mama sijui nitamlaje." aliwaza J fundi akiwa anakata mitaa kurudi nyumbani kwake au geto kama mwenyewe alivyopenda kupaita. Njia nzima alikuwa akiwaza ni jinsi gani atawezakumfanya mama huyo. Alikuwa na kitu kama hofu moyoni mwake kwanikiukweli kabisa J na mama Joy ki umri, mama Joy alikuwa ni mkubwa. Alifika nyumbani kwake J na moja kwa moja akaenda kuoga tena kwa mara nyingine alijiona kama bado mchafu kila alipokuwa akijiangalia kijana huyo. Jamani si jambo dogo kushiriki mapenzi na mtu aliyekuzidi umri, unaweza hata ukajikuta jogoo hapandi mtungi na akipanda, ukaishia goli moja tu la mkwezi. Kuna kitu kinaitwa hofu na hiyo ndiyo ambayo J alikuwa nayo na si hiyo pekee bali hata paniki alikuwa nayo, alipania sana J kufanya hilo tendo na huyo mama kwani siku hiyoalikuwa amemvutia sana. Alikuwa akimtamani kila siku lakini hakuwa akimwambia sijui ni kwa nini lakini siku hiyo akaona Ah!, ah?, akafunguka na mambo yakawa mepesi kabisa. kumbe kilicchokuwa kikimzorotesha kusema ni woga labda huku ule usemi wa uoga wako ndiyo umaskini wako, akiwa ameusahau. Alisubiri kwa muda wa takriban dakika arobaini na tano ndipo aliposikia mlango ukigongwa. Akanyanyuka kutokea pale kwenye sofa alipokuwa amekaa na kuuendeamlango. Alifungua na kumkaribisha mgongaji."karibu ndani" alizidi kukarbisha."asante, nimechelewa sana" aliitikia ukaribisho huo na kuongea."nilikuwa nakaribia kukata tamaa, naona muda unayoyoma tu nikajua hili sasa ni changa la macho nimepigwa" akasema J."hapana J siwezi kufanya hivyo ndugu yangu, unajua ni bora hata leoulivyofunguka maana nilikuwa napata shida sana na nilikuwa najiuliza kila siku itakuwaje. Nilikuwanaona aibu kukutamkia nahisi ungeniona kituko""kwahiyo unataka kuniambia hata wewe ulikuwa unafikira juu yan........!""sana J na moyo wangu nahisi leo utapoa maana hata sijui hicho kitanda chako kitasemaje" alikatisha kauli ya J mama Joy na kuongea ya moyoni kwa mkazo mkubwa. J alimuongoza mama huyo hadi chumbani hakutaka kuishilizia sebuleni. Akamkaribisha chumbani humo kwa kumwambia akae kwenye kitanda au kwenye kochi. Mama Joy akachagua kwenye kochi, akakaa na kuyaruhusu macho yake yakikaguea chumba hicho."nyumba yako nzuri J kuanzia nje hadi ndani hongera sana" hakuacha kusifia mama huyo."mbona ya kawaida sana""hata kama ni ya kawaida J ni yako kuna vijana wangapi mtaani hapa wenye umri kama wako na wengine wamekuzidi lakini hata chumba cha kupewa hawana"" dah! Kweli kabisa, asante sana" alishikuru J fundi na kumkaribia mama huyo ambae ki ukweli kabisa alikuwa si haba nà aliitwa mama kwasababi tu alkuwa na mtoto lakini mwili wake ulikataa kabisa jina hilo. umbo la kuvutia kulitazama, sura nzuri iliyobeba macho makubwa kiasi, mdomo mdogo wa kunyonya na mashavu yaliyojaa kidogo na kuleta muonekano mzuri wa kuvutia.Mama hakusema kitu na badala yakealitulia tu na kumuangalia kijana huyo ni kitu gani atakachoanza kukifanya. J alimkaribia na kuanza kumsifia kwa jinsi alivyoumbika na kuvutia zaidi kiasi cha kumteka kihisia. Mama Joy kikubwa alichokuwa akikifanya mahali hapo ni kucheka na kuachia tabasamu. Alikuwa amevaa kanga chini na juu alitupia fulana nyeupe isiyo hata na maandishi. J akawa anafunua ile kanga taratibu kama mtu anayeogopa hivi, akaisogeza pembeni. Paja nono la mama huyo likajitokeza na kufanya hadi mfunuaji wa paja hilo kujikuta akimeza mate kwa matamanio ya haja. Akajivuta taratibu hadi akaukuta mdomo wa mama huyo lakini hakumpiga busu wala kuonesha kitu chochote na badala yake, akaanza kumsugua na ndevu zake ndogo kwenye mashavu na kidevu, taratibu alizidi kufanya hivyo hadi shingoni mule ilipoishia kola ya round ya fulana yake. alizidi kumgusa na zile ndevu huku akimhemea kwenye sikio lake la kulia. Wadudu wa nyegezi walianza kumtambaa mama huyo taratibu kuanzia shingoni hadi maeneo ya kifuani. J alijua kuwa kwa kitu hicho kidogo anacho kifanya ni lazima atamtoa kwenye hali ya kawaida na kumuingiza kwenye utayari wa mchezo. Alianza kwa kuhema taratibu mama Joy hadi kifua kikawakinapanda na kushuka kwa nguvu kuashiria sasa hali imeshakuwa hali. pumzi zilikuwa zikimtoka kwa nguvu sana. huku sauti ndogondogo za raha zikimtoka. J akahamia upande wa mbele na kumfanyia kama alivyomfanyia upande wa nyuma wa shingo, hapa akasimama kwanza na kumuuliza kwa sauti ndogo na nzito iliyosheheni mahaba ya pwani."vipi unaharaka sana" mama Joy akatikisa kichwa kushoto kulia kuwa hakuwa na haraka hivyo ni yeye tu kufanya anavyo weza. J akaikamata ile fulana na kutaka kuivua, mama Joy akamzuia na kumwambia atulie. Akasimama na kuanza kuvua kila nguo taratibu kama hataki vile. Macho ya tamaa yakamtoka J pale mama huyo alipoitoa fulana yake mwilini na kuiweka pembeni. matiti makubwa kiasi yaliyoshiba mithili ya mwanamke anayenyonyesha, yalikuwa yameanguka lakini yanavutia ukiyatazama. Chuchu zake nyeusi zilizotutumka na kumfanya avutie zaidi kifuani, zilikuwa zinanyurutika kwa rangi yake. Hakuwa na papara Mama Joy alijua umbo lake ni zuri hivyo hapo alianza kumjaza kifua kwa pumzi ya tamaa huyo kijana kabla hajajikabidhi mazima. Akaichekecha kanga yake pale mwilini kama vile anaivaaa vizuri kisha akaitoa na kubakiwa na Chupi pekee hii ilikuwa na maana kuwa mama huyo alikuwa yu ndani ya kanga moja. Yale mapajaaliyokuwa akihitaji kuyaona kwa uzuri, sasa yakawa hadharani kwa kumtamanisha. J alitamani amrukie na ayanyonye kwa pupa mapaja yale. Mama huyo akawa ameishika ile kanga akiitafutia pa kuiweka, huku akipiga hatua ndogo mule ndani. mzigo wa tentelente huko nyuma ukawa unatingishwa makusudi J uzalendo ukamshinda akajikuta akisimama na kumfuata hadi alipo na kumnyonya shingoni. Mama huyo akaiachia ile kanga na kuifanya idondokee sakafuni."fundi naomba niokote kanga yangu imedondoka chini." alisema kwa sauti iliyotokea puani."mbona pasafi hapo, haina shida iache tu" alisema J akiwa anaonekana dhahiri yu katika uhitaji wa jambo hilo adimu."uliniuliza kama nina haraka nikakujibu sina lakini naona wewe ndiyo mwenye haraka kuliko mimi. Tulia J huu mchezo ni wa kikubwa hivyo hauhitaji hasira" aliposema maneno hayo, J yalimuingia vizuri tu,akajishtukia kuonekana ana maji sana hivyo ikambidi amruhusu tu huyo mama aokote hiyo kanga. Mama Joy akainama na kuiokota kwa mbwembwe zote huku akichezezesha wezere yake. J akajikuta akipiga kofi la hamu kwenye makalio ya mama huyo. ukelele mdogo unaotia mshawasha ukamtoka. Akasimama na kuiweka kwenye kochi kisha akamgeukia J nakumwambia."naomba uniruhusu nikuvue nguo kama utapenda" J akajifiria kwa muda kama anakasoro yoyote mwilini mwake, akagundua kuwa hana. Akamruhusu tu afanye anavyo jisikia."hii ndiyo raha ya mapenzi J, penda kuwa huru kwa mpenzi wako kwa chochote kile unachoamini kitawapa furaha nyote wawili bora tu isiwe ni ya kuvunja mipaka. Mapenzi yanamambo mengi na mengine ni madogo kuyafanya lakini yanamsingimkubwa sana kwenye mambo ya huba" alisema Mama Joy huku akiwaanamalizia kumvua nguo kijana huyo, alivua zote na kumbakisha nguo ya ndani tu. Akasimama na kumtazama usoni kisha akamkumbatia kwa nguvu na kumpa joto tamu la kifua chake. Matiti yake yale yakazidi kuleta ashki kwenye kifua cha kijana huyo."fundi unataka nikufanyie nini usiku huu ili ujue kuwa hukunilazimisha bali hata mimi nilikuwa na hitaji na wewe muda mrefu?"aliuliza Mama Joy akiwa amezidi kumkumbatia."sina la kusema kwako lakini naaminini penzi zito utakalonipa usiku wa leo na naamini sitakuwa nimelipata popote pale" alisema J fundi na kumfanya mama huyo kutunga tabasamu tamu usoni mwake."je, kama sina utaalamu wa kukupa mambo hayo?""mkubwa dawa mama Joy na huwezikukosa ukoko wa enzi yako ya ndoa na baba Joy" akasema J fundi. Ukimya ukatawala kidogo na kila mmoja akawa anazisikiliza pumzi za mwenzake kwa jinsi zinavyotoka, wa kwanza kukata ukimya huo alikuwa ni mama Joy."naomba unisamehe kwa kuto kukuvua boksa, ninasababu zangu za kimsingi na ndiyo maana sijafanya hivyo""sababu gani?" J akauliza."kama ningemuona fundi halisi sidhani kama ningekuwa nimesimama hivi, nakuwa nachanganyikiwa sana ninapouona mtalimbo wa kazi" alisema huku akiwa ametabasamu lakini kabla J hajatia neno, alishtukia ulimi ukitembea kwenye mshipa mkubwa uliotokea ......................

Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: