CHOMBEZO CHURA AMEPEVUKA

Chombezo: maridhawa la mapenzi

CHURA AMEPEVUKA

EPISODE YA III

J akabaki na maswali mengi ya kujiuliza juu ya mama huyo na kwa jinsi anavyo yajua mapenzi yasivyo na siri, ni wazi ipo siku Chacha angegundua na lisingemuwa jambo zuri. Moyoni alikiri kuwa mama huyo si haba, yuko juu kila idara kuanzia sura hadi umbo kwa nyongeza watu wa pwani wanasema 'mtoto mansha allah kaumbika'SAA MBILI USIKUChereko na nderemo ziliwamba kila upande wa mji huo wa masugulu juu,kila kijana siku hiyo alipania kulala mida mibovu pengine hata kukesha kabisa. Kitendo cha kusikia kuwa Kihiyo mpiga Mdunge maarufu ana kuja kuisherehesha harusi ya mtoto mkubwa wa mzee Rama, hakuna ambaye angependa kuulaza ubavu wake kungali nje kunarindima kia mjamuungwana alipanga kurindimkana ngoma hiyo."mwanangu leo pana watoto hapo juu si utani" alisema kijana mmoja alipokuwa kwenye kiduka fulani hivi cha Sadi."leo hapatoshi mtu wangu ni hadi majogoo hakuna kulala" aliongea mwengine."tena Kihiyo baba na mdumange, hata ningekuwa kitandani hospitali ningepona nakuambia. Kihiyo siyo poa ujue""mwanangu kweli yaani hapo hata wangeweka kigoro kingeingia maji hakuna mtu ambaye angekihusudu""cheki kwanza watoto walivyovaa, kanga moja mwanagu na chupi tu we si unaona mambo hayo, weweeeeeeeeee!!!" walizidi kujadili vijana hao huku wakiwa na furaha kubwa kabisa. Ama kwa hakika kila Mbwa na kwao, nimeamini. Mbondei na Mdumange ni kama Chai na kabila fulani hapo hapo mkoani Tanga kwa jinsi lilnavyokubalika. Utawaambia nini sasa na ukitaka uabike. Lete mdumange na ngoma zenu hizi mpya sijui ndiyo nini sijui, uone utakavyo aibika na kigodoro chako. Walichokuwa wakikisubiri hapo ni muda tu kwa ajili ya kuelekeakwenye ngoma hiyo ya asili."kaka ee!" aliita Chacha."nini mdogo wangu?""unajua huko juu siyo powa leo ujue, nilikuwa nimetega Panzi hapo juu na wana si nikaona utitiri wa watoto siyo mchezo""wacha weee!?""niamini mimi kaka, hebu kwanza funga huo mlango tukapige msosi kisha tuibuke kwenye hiyo harusi" alisema Chacha, wakakubaliana kisha wakatoka hadi kwa mama muuza. Hakukuwa na watu wengi sana happ na si kama ulikuwa ni mgahawa mkubwa sana laa! kuliwekwa benchi moja na kijimeza cha wastani. Wakati Chacha na J. Fundi wanafika hapo, watu wengine wawili ndo walikuwa wanaamka. wakakaa hapo na kuanza utani kwa mama huyo."vipi leo uko peke yako mama nijazie mwanao yuko wapi?" Chacha aliuliza."umefuata kula au umemfuata mwanangu Chacha" aliuliza tena mama nijazie ambae kwa umaarufu wa jina lake alikuwa akiitwa mama Joy. Ni mama maarufu sana wa chakula cha usiku na biashara yake aliifanyia maeneo ya kituo cha magari ya Bombani, Amani na Kicheba hadi Maramba. Mida hiyo yausiku walifanya kazi zao kwa uhuru sana kwani hakukuwa na heka heka za magari wala nini ma wateja wake wengi walikuwa ni wauza mitumba almaarufu Walumba. Na wengine ambao hawajaoa kama wakina J, ndiyo ilikuwa mahala pao pa kujidai."basi kama vipi atakula kaka hapa mimi sili""sasa Chacha ndiyo nini mwanangu au unataka ugali unidodee leo maana najua wewe na kaka yako ndiyo mnaokula ugali wengi hapa wanakula wali" alilalama mama Joy."mama nijazie, anakuzingua huyo lazima ale tu" alipngea J. Fundi."kaka unadhani nakutania, sili kama Joy leo haniandalii" Chacha alionekana hatanii kabisa hicho alichokuwa akikiongea mahali hapo, alionekana kudhamiria."Joy yupo bwana nilimtuma hapo dukani kaenda kutafuta chenji""hapo sawa ninakula kwa mbwembwe zote" Ulikuwa ni utani pale huku mama Joy akimuwekea J chakula kisha akamsogezea na kijana huyo akaanza kula. Muda wote huo wakati J anakula, alikuwa haachi kumuangalia mama Joy hata kidogo na kikubwa kilichomfanya kijana huyo kumuangalia huyo mama ni jinsi alinyopendeza siku hiyo. Si kama alikuwa hapendezi sikuzote, alikuwa akipendeza sana ila siku hiyo ni kama macho ya J yalionaajabu hivi. Midomo mizuri ya mama huyo ambayo haikuwa imepakwa rangi ya aina yoyote, midomo mikavuambayo kwa mtazamo wa J tayari alishaijengea picha mbaya. Mawazo yake yalikuwa ni kama angepata bahati ya kuinyonya midomo hiyo ni wazi asingeiachia hata kidogo. midomo hiyo ilimkumbusha mbali sana, ilimkumbusha kipindi anasomakidato cha tatu. Kulikuwa na binti mmoja ambaye alikuwa akikaa naye dawati moja naye midomo yake ilikuwa kama ya mama huyo. J. Fundi alijikuta akiangalia hadi ulaji kwake ukapungua. Ndipo mama huyo akamtupia kijana huyo jicho na kumkuta akiwa ameshangaa mshangao ambao ulimpa maswali mengi, hakusita kuuliza."J jamani mbona hivyo?" kijana huyo akashtuka na kuona aibu maana kumbe kwa wakati huo Joy nae alisharudi kutoka kutafuta chenji. Alihisi labda watu wote pale walikuwa wakimsjangaa lakini kumbe haikuwa hivyo. J akamkazia macho mama Joy na kumuuliza kwa ishara kama wale madogo walijua chochote, mama huyo akatikisa kichwa kuwa hakukuwa na chochotewalichogundua. Akamkonyeza mama Joy kenyezo la kiutu uzima. Ndugu mpenzi msomaji hakika usishangae mwandishi kusema kuwa J alimkonyeza mama Joy konyezo la ki utu uzima. Ndiyo, kuna konyezo la kumkonyeza mtoto mdogo, konyezo hili linapomkuta mtoto basi hana atakalolifanya zaidi ya kuangua cheko kuubwa la furaha na atafurahi kweli na vilevile kuna hilo konyezo la kiutu uzima. Hili linapomkuta mlengwa ujue ni haya tu ndiyo itakayo ugubika moyo wake na kuanza kujigeuzageuza kama kachomwa na mwiba wa mbigili kwenye makalio. Ubaya unakuja palemtu mzima akamkonyeza mtoto kwakonyezo la kiutu uzima, hakika ni lazima utamuona mtoto atakavyopoyeza ujasiri na hata kamaalikuwa anakimbia basi mwendo utapungua na atajiona kama hajakamilika mwilini mwake. Hapa nawazungumzia watoto wanajitambua. Hivyo ndivyo lilivyomkuta mama Joy. Mara tu alipokumbana na konyezo hilo ambalo ni nadra sana J fundi kulitoa, alichoka na uchovu wake ukaanza kujidhihirisha kwenye macho. Machoyake yalikosa nguvu kabisa kumtazama J, akajikuta akitazama chini. Ilikuwa ni kwa ufundi mkubwa sana maana hapo hakuna Chacha wala Joy ambaye alijua kinachoendelea. Hapo ni mchezo wakikubwa na uzoefu wa mambo hayo ndiwo uliokuwa ukitumika eneo hilo. Mama Joy hakutaka kumuangalia tena J usoni maana alijua fika kufanya hivyo ni kujibebesha mzigo katika mawazo. akaganda na kutazama chini muda wote. J alidhamiria kumtofya tofya mama wawatu, hivyo hakuacha kupeleka mashambulizi ya kichokozi hata kidogo. Aliupeleka mguu wake chini na kukanyaga mguu wa mama Joy na kuanza kumgusa pasipo kumpa maumivu. Mama Joy alijikuta akifumba macho kwa hisia kali ni wazi J. Fundi alifanya vile ili kumroga mama huyo na ukisikia kutongoza kikubwa ndiyo hapo. Mama Joy asingepiga kelele mahali hapo kwani kila akiangalia pembeni alimuona mwanae hivyo aliamini kupiga kelele ni sawa na kumpa mwanae mwanga wa kuuliza kunani mahali hapo. Akazidi kufumba macho huku akiusogeza mguu wake nyuma lakini J. Fundi hakuacha kuufuata huko huko. mama Joy akakosa uvumilivu na kuamua kumtupia macho kijana huyo ya kumwambia asitishe kile alichokuwa akikifanya kwa majira hayo lakini alipomuangalia tu, ni kama alikuwa akingojewa kwa hamu. Akakutana tena na konyezo lile lile la awali, akayarudisha tena macho yake chini.Lakini pamoja na yote hayo yaliyokuwa yakiendelea mahali hapo,J hakuacha kula na muda huo alikuwa akimalizia msosi wake."kaka mimi tayari nimesha maliza kama vipi faster tukiamshe" alimgutusha J, Chacha."ahaa poa hata mimi nimesha malizangoja nilipe tuondoke" alisema J na kutoa noti ya sh. 10,000 na kumkabidhi mama Joy ile noti."jamani J hela yote hii mimi nitapata wapi chenchi usiku huu" alilalamika mama huyo."mwambie Joy akaangalie kule kwa Mgosi kama anaweza kupata""Joy mwanangu, hebu kimbia mara moja kwa mgosi ukalete chenchi kama unaweza kubahatisha."bwana mama kila saa tu, nimechoka sasa" alinung'unika Joy."najua mwanangu lakini tutafanyaje sasa mama, kajaribu tu hii mara ya mwisho" alisema mama huyo na Joy akaichukua ile hela na kwenda taratiibu kivivu sana. J fundi akamtazama Chacha na kufikiria ni kitu gani anaweza akamwambia ili aweze kubaki na mama Joy pekee. Lakini penye ukubwa pana ukubwa tu. Akamtazama na kumwambia."dogo ee!""naam kaka!" aliitikia Chacha."we tangulia kati me nitakukuta hata kama nitachelewa lakini najua nitakuja, mimi kuna jamaa hapo inabidi nikamcheki maana nikimkosamuda huu ujue ndiyo basi tena" alisema J na kumtazama Chacha moja kwa moja usoni. Chacha alikuwa ni kama alikuwa akiisubira hiyo kauli kwani alivyogeuka tu akapotea huku akimsisitizia kaka yake asichelewe sana maana huko ninoma. Kitendo tu cha Chacha kuondoka mahali hapo, mama Joy alibadilika gjafla na kumkazia machoJ."hivi J ndiyo tabia gani sasa ile kufanya mbele ya watoto?""na ndiyo maana nikawaondoa hapa kiakili ili tuyamalize kikubwa" alisema J akiwa mpole kabisa hana hata presha na wala hakujua kuwa mwenzake alikuwa katika hasira kiasi gani."yaani umenikera sana hujui tu, hivi unajua ni kiasi gani mimi nilivyo sina uvumilivu J, ningeweza kupiga kelelepale unafikiri ningejenga picha gani kwa watoto sasa""mamaake acha basi, tufanye hayo yamepita nilifanya vile kwa sababi yahako kamdomo kako kalivyo kadogo,kamdomo ka kunyonya hako, sasa ukiongea sana utasababisha Joy arudi bure halafu tutakuwa hatujaongea chochote na sio lengo." aliongea J fundi huku akimuinamia mama huyo ambaye baada ya kujua ni nini kilichomdatisha kijana huyo."kwahiyo unatakaje sasa?" akatupa swali mama huyo."enhee! Hayo sasa maneno. Unajua nini mamaake, mwenzako leo nimeshindwa kuzizuia kabisa hisia zangu yaani kila nikikuangalia hapa nakutamani, hebu fanya fanya tukamalizane kikubwa""huna hata aibu yaani unasema kabisa kuwa umenitamani""sasa ulitaka nisemeje? Ulitaka nianze kuimba nyimbo za kina Diamondi huko au kina Kiba eti nikilala naota, naota kama unakuja au zile baby ni kiss kiss. Aaah! Sisi watu wazima

Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: