Kimenukaa..Clouds Tv Wavigeuka Vyombo vya Habari Kuhusu Makonda,Wamsifia na Kumshukuru 'Live' kwa Kuwakarabatia Uwanja



Hatimaye Clouds Fm Kupit Kipindi chake cha Clouds Sport Bar Wamekiuka Agizo la Jukwaa la Waharii Nchini kwa Kumsifia Mkuu wa Mkoa wa Dar ,Mhe Paul Makonda.

Katika Kipindi Hiko watangazaji wa clouds tv walimsifu Mhe Makonda kwa jitihada zake za kuuboresha uwanja wa Bandari ambao utatumika kwa michuano ya Ndondo Cup.



Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: