Pichani ni Saa aina ya French Clock.
Picha za hapo zikionyesha Saa aina ya French Clock ambayo inakadiriwa ndio Saa ghali kuliko zote dunia ambayo iligunduliwa na Mtaalamu wa kusoma majira na saa Abraham Louis Breguet Mwaka 1785 huko Ufaransa, na ilipofika mwaka 1835 iliweza kuongoza kwa kuwa saa ya kwanza kuuzwa bei ghali kiasi cha dola za kimarekani dola million 6.8 ambazo ni sawa na hela za madafu (Tsh Billion Kumi) , Pia mbunifu huyo Abraham Louis Breguet ndiye aliyekuwa mwanzilishi wa kampuni ya Swiss Luxury Watch ambayo ilikuwa ikitengeneza saa za gharama , Mwaka 1999 iliwekwa kwenye makumbusho huko Rockford Illinois , Marekani kwa kuwa na rekodi ya bei kiasi cha dola za kimarekani millioni 5,777,500
Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
0 comments:
Post a Comment