Thomas Muller akishangilia baada ya kuifungia Ujerumani bao la tatu na la pili kwake katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Norway kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia kwa kanda ya Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Ullevaal mjini Oslo. Bao lingine la Ujerumani lilifungwa na Joshua Kimmich
Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
0 comments:
Post a Comment