MESSI ASHINDA TUZO YA GOLI BORA LA UEFA



Messi-tuzo
Kabla ya kuanza kwa hatua ya makundi ya michuano ya klabu bingwa Ulaya, mtandao wa UEFA.com umemtangaza Messi kuwa ameshinda tuzo ya goli bora la michuano hiyo msimu uliopita.
Goli lililompa Messi tuzo hiyo ni lile alilofunga wakati Barcelona ikicheza dhidi ya AS Roma kwenye msimu uliopita (2015-16).
Messi alifunga goli hilo kwa ku-chop mpira kwa ustadi  akimalizia pasi kadhaa za haraka-haraka zilizopigwa eneo la hatari la Roma kabla ya kufunga goli hilo.
Nyota huyo wa Barcelona ameshinda tuzo hiyo baada ya kupata 34% ya kura zote.




Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: