Mtoto azaliwa na vichwa viwili katika hospital ya DDH Bunda Mara mtoto huyu alikaa kwa saa moja ni kisha kufariki dunia picha imepigwa na Berensi Alikadi mshiriki wa mafunzo ya Online Journalism yanayoendelea Mkoani Mara , Mafunzo hayo yanayoendeshwa na Mkufunzi Msaidizi Mkami Jr Kutoka Mjengwa Blog , Yakiratibiwa na UTPC
Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
0 comments:
Post a Comment