MAAJABU YA DUNIA

OASIS OF THE SEA ndiyo meli inayosadikiwa kuwa ni kubwa zaidi kuwahikutokea duniani kwani ukubwa wake nimaratano zaidi ya ile ya TITANIC iliyokuwaikiaminika kuwa ndiyo meli kubwa kuliko zote duniani. Utengenezaji wake umegharimu kiasi cha dola za kimarekani bilioni $1.5.Imetolewa oda na kuanza kutengenezwa tarehe 12/11/2007 na kukamilika tarehe 28/10/2009 na kukabidhiwa tarehe kwa ajiri ya kuanza kazi tarehe 5/12/2009.Oasis of the seas ina urefu wa mita 361.6 sawa na futi 1186.5, ina kimo cha urefu wamita 72 sawa na futi 236 ambayo ni sawa ghorofa ya rosheni 20 kwenda juu, upana wake ni mita 47 sawa na futi 154.Ina jumla ya engine 8 aina ya wartsila V12 zenye uwezo wa 17500hp.ina lifeboats 18 ambazo zina uwezo wa kuchukua watu 370 kila moja na meli yenyewe ina uwezo wa kuchukua abiria 6000.Ina ngazi 16 zenye vyumba vya kulala, ina restaurant, ina maduka,hotel zahigh class,swimming pool, mandhari yenye miti ya kupumzikia, kumbi za disko,michezo ya kwenye maji na mambo mengi.
Maajabu YA DUNIA's photo.
Maajabu YA DUNIA's photo.
Maajabu YA DUNIA's photo.
Maajabu YA DUNIA's photo.


Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: