Vyeti ni gonjwa kwa watumishi, wengi wahaha kutangaza vimepotea




Wakati serikali ikiendelea kuhakikisha vyeti kubaini watumishi wasiokuwa na sifa, watu wengi wamejitokeza kutangaza kupotelewa na vyeti magazetini
Ndalichako+Picha
Katika kipindi ambacho taasisi mbalimbali zinaendelea na zoezi hilo imebainika kuwa siku za nyuma kulikuwa na matangazo ya aina tofauti lakini kwa juzi kumetokea mtiririko wa watu kutangaza kupotelewa na vyeti hali isiyo ya kawaida kwa taifa.
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia na Ufundi , Profesa Joyce Ndalichako alisema juzi kuwa serikali itafanya uhakiki wa vyeti katika vyuo na sehemu za kazi.
Naye Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF)Godius Kahyarara juzi alitoa waraka akisema wafanyakazi watakaoshindwa kuwasilisha vyeti vyao halisi hawatalipwa mishahara


Ludewa yetu na maendeleo yetu
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: