LEICESTER CITY YAANZA MSIMU MPYA KWA USHINDI ENGLAND


Kiungo wa mabingwa wa England, Leicester City, Danny Drinkwater akiumiliki mpira wa juu kwa ustadi katikati ya wachezaji wa Oxford United usiku wa Jumaanne Uwanja wa Kassam katika mchezo wa kirafiki kujiandaa na msimu mpya. Leicester ilishinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Demarai Gray dakika ya 28, ambalo lilikuwa la kusawazisha baada ya Chris Maguire kutangulia kuifungia Oxford na Jeffrey Schlupp dakika ya 69


Ludewa yetu na maendeleo yetu
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: