Utiaji
sahihi makubaliano ya utekelezaji mpango wa pamoja sekta ya Afya
uliohusisha upande wa serikali na wadau wa maendeleo. Serikali
iliwakilishwa na kaimu katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,
Jinsisia, Wazee na Watoto Bw Michael John na Naibu Katibu mkuu TAMISEM
Dkt Deo Mtasiwa. Wadau wa maendeleo Ubalozi wa Denmark Ireland, Italy na
Benki ya Dunia, sekta binafsi iliwakilishwa na BAKWATA, APHTA CSSC
Mfuko wa Benjamini Mkapa na AMREF AFRICA, vyama vya kitaaluma
viliwakilishwa na TPHA.
Kaimu
Katibu mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsisia, Wazee na
Watoto Bw Michael John akibadilishana mikataba ya makubaliano na Balozi
wa Ireland.
Ludewa yetu na maendeleo yetu
0 comments:
Post a Comment