Rais Magufuli ateua Kamishna mpya wa kazi




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli.
; Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli amemteua Hilda Nkanda kuwa kamishna wa kazi.
Kabla ya uteuzi huo, Nkanda alikua Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Utawala na Utumishi wa Umma, ofisi ya raisi menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora.
Kamishna huyu mpya anachukua nafasi iliyoachwa na Said Kinemela ambaye amestaafu kwa mujibu wa sheria.
Wakati huo huo, Dkt Magufuli amemteua Prof. Siza Tumbo kuwa mkurugenzi mkuu kituo cha zana za kilimo na teknolojia vijijini (CAMARTEC).

Uteuzi huu wa watendaji wa wakuu wa taasisi za serikali umeanza tangu Machi 26, 2016



Ludewa yetu na maendeleo yetu
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: