
Rapa Quick Rocka
<a
href='https://mpakasi.com/ads/www/delivery/ck.php?n=ae5caf5a&cb=Math.random()'
target='_blank'><img
src='https://mpakasi.com/ads/www/delivery/avw.php?zoneid=18&source=https%3A%2F%2Fmpakasi.com&cb=Math.random()&n=ae5caf5a'
border='0' alt='' /></a>
Muimbaji nammiliki wa studio za Switch Records, Quick Rocka
anatarajia kuachia wimbo wake mpya ambao utakuja kwa audio na Video wiki
mbili kuanzia sasa.
Rocka amedai kuwa ameshindwa kufanya video ya wimbo wake ‘Nakupenda’
kutokana na ukweli kuwa wimbo huo ulivuja na haukuwa katika plan zake
kwa sasa.
Aidha wimbo huo mpya umeandaliwa ndani ya studio zake mwenyewe Switch Records na producer Lufaa
Ludewa yetu na maendeleo yetu
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment