North, Saint West siyo watoto wa Kanye West?




Kanye West akiwa na mkewe Kim Kardashian
Kanye West akiwa na mkewe Kim Kardashian
<a href='https://mpakasi.com/ads/www/delivery/ck.php?n=ae5caf5a&amp;cb=Math.random()' target='_blank'><img src='https://mpakasi.com/ads/www/delivery/avw.php?zoneid=18&amp;source=https%3A%2F%2Fmpakasi.com&amp;cb=Math.random()&amp;n=ae5caf5a' border='0' alt='' /></a>
Habari zinadai kuwa hali ni tete kwa wanafamilia, mwanamitindo na mtangazaji, Kim Kardashian na rapa Kanye West, baada ya tetesi kuendelea kusambaa kuwa watoto waliowazaa pamoja, North na Saint siyo wa Kanye.
Tetesi hizo zilianza kuzagaa kupitia kipindi maarufu cha TV cha Maury ambao taarifa zilielezwa kuwa Kanye West siyo baba halali wa North West.
Saint West
Saint West
Kwa mujibu wa chanzo cha jarida la Star kimedai kuwa kuna ulazima wa kufanyika kwa DNA kwani kama DNA  ikigundulika Kanye, hausiki nafikiri hatua itakayofikiwa ni Kanye, kumuacha Kim.
Sambamba na hilo mtandao wa Hollywood Life ulilipoti kuwa Kim, alitumia mbegu za mwanaume mwingine kwa ajili ya kuwapata North na Saint.
Endapo Kim atapigwa ‘kibuti’ atakuwa ameachika katika ndoa tatu za halali kwani ndoa ya kwanza alifunga na Damon Thomas na ya pili Kris Humphries na baada ya hapo Kanye West.



Ludewa yetu na maendeleo yetu
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: