LIVERPOOL YACHOMOLEWA MBILI ZOTE NA NEWCASTLE ANFIELD


Kiungo wa kimataifa wa Brazil, Roberto Firmino wa Liverpool akimiliki mpira mbele ya beki wa Newcastle, Paul Dummett katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Anfield, timu hizo zikitoka sare ya 2-1. Liverpool ilitangulia kwa mabao ya Daniel Sturridge na Adam Lallana, kabla ya Newcastle kusawazisha kupitia kwa Papiss Cisse na Jack Colback  PICHA ZAIDI GONGA HAPA






Ludewa yetu na maendeleo yetu
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: