Lady Jaydee Atangaza Mchongo Huu Kwa Mashabiki Wake



SeeBait

Lady Jaydee anataka kula dinner na mashabiki wake. Unachotakiwa kufanya ni kujirekodi na kupost video kwenye Instagram au Facebook ukiimba wimbo wake mpya, Ndindindi. 
Lady Jaydee ameandika:
Katika watu wote waliotuma videos Wanaimba NdiNdiNdi Nawashukuru sana Wanaopenda kuendelea wanakaribishwa Ila nitakuwa nazi like huko huko Kwenye page zenu Kifuatacho sasa Nitachagua Clips 3 bora zilizokonga na kusuuza watu wengi Na watatu hao, nitafanya mchakato wa kula nao japo dinner Na ku hang nao siku yoyote nikiwa na event kubwa Majina nitataja baadae kidogo 1. 2. na 3

Ludewa yetu na maendeleo yetu
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: