Emmanuel Eboue amefukuzwa Sunderland baada ya siku 22.






ebBeki wa zamani wa Arsenal amekaa kwa muda wa siku 22 tu kwenye club yake ya Sunderland na kufukuzwa kazi. Eboue ali sign mkataba wa muda mfupi na club hiyo inayoshiriki EPL akiwa free agent.
Sababu ya msingi ni kwamba FIFA imemfungia Eboue kujihusisha na soka kwa muda wa mwaka mmoja hadi pale atakampomlipa wakala wake wa zamani. Kwenye adhabu hiyo FIFA wamesema anaweza kujihusha na soka kama akilipa deni hilo.
Club ya Sunderland haikutaka la kusikia chochote baada ya adhabu hiyo. Walichokifanya ni kumfukuza kazi kabisa Eboue. Pia hata kama akimalizana na wakala wake bado hawana nafasi kwa ajili yake tena





Ludewa yetu na maendeleo yetu
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: