Wasanii walipoalikwa Ikulu kwa mara ya kwanza na Rais Magufuli..


February 18 2016 inaingia kwenye headline kwa Wasanii wa Tanzania kualikwa na kula chakula cha mchana pamoja na Rais John Pombe Magufuli tangu ateuliwe,Rais Magufuliamekutana na wasanii hawa kama miongoni mwa makundi yaliyoshiriki kwenye kampeni.
13
Wasanii wa Bongo fleva wakifurahia jambo.
Makundi yaliyofanikiwa kushiriki kwenye Hafla hii ni Wasanii wa Bongo Fleva,Bongo Movie,Muziki wa Dansi na muziki wa Taarabu.
12
P funk,Makomandoo,Mwana Fa,Idris Sultan na wasanii wengine wa filamu.
1
4
3
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiongea jambo na Makundi ya wasanii waliofika Ikulu.
2
5
Makamo wa Rais Mama Samia Suluhu akizungumza na Makundi ya wasanii waliofika Ikulu.
6
11
8
Peter Msechu,Msami na Ditto kwenye chakula cha mchana.
7
9
10
Picha kutoka Blog ya Ikulu




Ludewa yetu na maendeleo yetu
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: