Kikosi cha Manchester City kilichoifunga mabao 3-1 Dynamo Kiev katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana mjini Kiev. Mabao ya City yalifungwa na Sergio-Aguero, David-Silva na Yaya Toure, wakati la Dynamo lilifungwa na Vitaliy Buyalskiy PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ludewa yetu na maendeleo yetu
0 comments:
Post a Comment