CHEKA NA MZUNGU WAPIMA UZITO, TAYARI KWA PAMBANO LA KESHO DAR

Bondia Francis Cheka akipima uzito leo kwenye ukumbi wa hoteli ya Blue Palms, Upanga, Dar es Salaam kwa ajili ya pambano na Muingereza mwenye asili ya Serbia, Geard Ajetovic kesho viwanja vya Leaders Club, Kinondoni, Dar es Salaam kuwania ubingwa wa Mabara wa WBF uzito wa Super Middle
Geard Ajetovic akipima uzito tayari kwa pambano la raundi 12 kesho viwanja vya Leaders Club, Kinondoni, Dar es Salaam kuwania ubingwa wa Mabara wa WBF uzito wa Super Middle 
Francia Cheka akichukuliwa vipimo mbalimbali vya afya
Geard Ajevotic akichukuliwa vipimo mbalimbali vya afya
Bondia Mohammed Matumla ambaye kesho atapigana na Bakari Mohammed katika pambano la uzito wa Light raundi sita
Mabondia Cossmas Cheka (kulia) na Mustafa Doto (kushoto) wakiwa wameshika mkanda wa WBF Africa watakaowiania kesho katika pambano la uzito wa Light



Ludewa yetu na maendeleo yetu
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: